JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 499
Even the current president is a female president.
Aiseeee.......
Even the current president is a female president.
Anafaa kabisaaa kuwa presidaa!!
Watanzania bana, yaani mtu kuwa kiongozi wa UN Habitat tayari anafaa kuwa Rais wa Tanzania? Au ni kwa sababu ni mwanamke?
Kwa maoni yangu mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wa Tanzania lazima tumpime kwa aliyoifanyia Tanzania na siyo ahadi za blah blah kama alizotupa JK za Maisha Bora kwa kila Mtanzania. Kuwa Professor si kigezo, kuwa kiongozi UN si kigezo...tusifanye makosa tuliyoyafanya kwa JK.
Watu wengine mnatia hata hasira, mwingine alikuja hapa jamvini eti Dr. Rose Migiro anafaa...ukimuuliza sababu eti ooh ameshaongoza taasisi kubwa duniani yaani UN. Kungekuwa na kitufe cha kumchapa makofi ningmchapa hata makofi 10.
kwa gamba hamuwezi kunishawishi kwa lolote.kwa kuwa yuko kwenye chama cha magamba na yeye ni gamba
Please! Utafikiri namwona vile anavyosema "ngangana":biggrin1:
Lakini tukiacha hiyo "lakini mkara" aliyoikemea Mwalimu, je anafaa?

After 10 years of rise of cost of living, energy crisis and political scandals, it is time to have a breath of fresh air. Dr. Anna Tibaijuka, who is currently the Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, the first African woman elected by the UN General Assembly as Under-Secretary-General of a United Nations programme, the former United Nations Under-Secretary-General and Executive Director of UN-HABITAT is a perfect choice to become the 5th President of the United Republic of Tanzania. As minister of lands, she has proved that she is a good executive and manager. She has turned around a ministry that was marred with corruption and mismanagement. In her current position, Dr. Tibaijuka has proved to be a visionary and steadfast leader who can make tough DECISIONS.

Prior to her political and United Nations portfolios, Dr. Tibaijuka was a Professor of Economics at the University of Dar es Salaam. She is the author of various books and research papers on agriculture and rural development, farming systems, food policy, agricultural marketing and trade, sustainable development, social services delivery, gender and land issues, and environmental economics. She was an active member of the civil society and the womens movement. In 1994 she founded the Tanzanian National Womens Council, BAWATA, an independent non-party affiliated organization fighting for womens economic and social rights. In 1996 she founded Barbro Johannson Girls Education Trust (Joha Trust) that advocates for quality girls education in Tanzania and Africa and operates a model secondary school for poor girls, mostly orphans. She is patron of Tanzania Young Entrepreneurs Initiative. She is a member of various professional associations and is a veteran of UN world summits, including the Beijing Womens Conference, the Copenhagen Social Summit, Habitat II at Istanbul, and the Food Summit in Rome. She is winner of several awards including honorary Doctorate degrees conferred by the University of McGill in Canada, University College London, and Herriot Watt in Scotland. She is a Foreign Member of the Royal Swedish Academy of Agriculture and Forestry and the International Center for Tropical Agriculture. She is a widow with 5 children, one of whom is adopted.

By electing Dr. Tibaijuka as President (if she runs), Tanzania will be making history as electing the first woman president of our republic and a breath of fresh political air.
Huyu mama hana lolote
eti mwanamke hawezi kupewa nchi kwa sasa.....msinitafutue bani jamani......
HIVI NYIE WANAUME MLIOPEWA NCHI KWA MIAKA 50 MMEIFANYIA NINI NCHI HII???
WALAFI....HAKUNA LOLOTE LA MAANA NCHI IMEENDELEA KUWA MASKINI CHINI YA MIKONO NA VICHWA VYENU.......MMEPROVE HAMUWEZI LOLOTE ZAIDI YA KUWA NA WATOTO/WAKE WENGI KWA HILO MNAJITAHIDI.....AFRICA, DUNIA INAOMBOLEZA KWA AJILI YA UONGOZI MBOVU WA WANAUME.....ETI.....TZ BADO KUONGOZA NA WANAWAKE AS IF WANAUME KUNA WALIOLIFANYA LOOOOH
MMEHARIBI SIKU YA NGU BURE..........
MASKINI WA fikra, wavivu wa kubuni, wezi wa mali ya umma, mizigo isiyobebeka, waasisi wa nyumba ndogo....MLIOSHINDWA KU DELIVER KWA MIAKA 50........HAMNA JIPYA ZAIDI YA UFISADI
mix with yours
Huyu mama hana lolote

Wacha niseme haya ni kama maneno ya wahuni wa Mtaani.

Hata kama Hatujaridhika Na utendaji Wa Rais, Sio vizuri kumkebehi.

Mbona tusijitahidi kuandika zaidi makosa yake na kumshauri afanyeje.

Mfano:

1. Tunaomba kipaumbele Kwenye umeme.

2. Tunaomba miundo mbinu ambayo itaweza kuondoa Foleni hapa Dar Es salaaam.

3. Punguza kodo Kwenye Mafuta.

4. Wabunge hawasathili posho

5. Tunaomba mkulima asaidiwe katika kuuza mazao yake katika masoko ya nje ambayo yameonekana kuwa na uhitaji mkubwa.

6. Tunaomba ukiritimba TRA na Bandarini uondolewe

7. Tunaomba Wazawa wapewe kipaombele katika ajira

8. Tunaomba Tufaidike na rasilimali zetu hasa madini.

9. Tunaomba issue ya mikataba inayahosu rasilimali za Nchi isiwe inatiwa saina na waziri husika peke yake, kuwe na some sought of public oversight committee.

10. Tunaomba Ngeleja apumzike kwasababu amechoka.

Mimi sidhani sisi kama wananchi tungekuwa tumetimiziwa mahitaji yetu muhimu tungehoji safari za rais wetu.
kwa gamba hamuwezi kunishawishi kwa lolote.kwa kuwa yuko kwenye chama cha magamba na yeye ni gamba
wewe na nani?Hana jipya akae pembeni huko hatutaki kusikia harufu ya CCM hata kama watatwambia kuwa mgombea wao ni Malaika; maana tunajuwa hakuna malaika kutoka kwa mungu anaweza kuwa upande wa CCM hata siku moja.
Naunga mkono mkuu!! hatuko hapa kuweka historia eti kuwa na Rais mwanamke,,, upuuuzi kabisa! Kwangu miye bora MembeBora hata Lowassa