tafadhali mkuu wale ambao wapo nje ya tanzania hawatapata fursa ya kumuona 'ulamaa' huyu hivyo usiache kutuhabarisha kitakachojiri katika muhadhara huo. Vilevile naomba TEMPRO kama ratiba itaruhusu "alimu" huyu atembelee zanzibar kule na kutoa muhadhara katika chuo kikuu cha zanzibar (suza) na ZU - tunguu.