Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Unabakwa na wachawi wewe shetani[/QUOTE]

jamaa kapatia sana slaa kachoka ndio maana hata mnaemfuata mpo ivyo si unaona lugha zenu....zinaonesha fika ni chama cha wahuni....slaa kamsaliti mungu wake na kuvunja kiapo cha upadri kwa MUNGU sembuse sisi binadamu lol! kueni makini hakuna kitu pale lile zigo tu.
 
Hakika nitampigia kampein Dr. Slaa kwa nguvu zangu zote!!

Hatuhitaji mrembo Ikulu au utoto Ikulu, tunataka kiongozi mwenye maono ya kulisogeza taifa mbele!! Taifa hapa lilipofikishwa na CCM linahitaji mfumo mpya wa uongozi!!

Kama wananchi, tunatakiwa kufikiri nje ya Ukabila, Udini na Ukanda na kutambua ni kiongozi yupi atakayetufaa ...ambaye ni ni DR. W.P SLAA!!
 

solution sio kubadili chama, solution ni kubadili raia wenye mawazo finyu kama yako wakaishi burundi tubaki na watanzania safi......
 

Kigezo cha usomi, umri, background, lugha pekee havitoshi kumtambua rais tumtakaye.
Watanzania tunahitaji mabadiliko ya mfumo mzima Wa uongozi ili kuondoa misingi ya unyonyaji, ubabe, ubaguzi uliowekwa na ccm,
Tunahitaji mfumo mwingine utakao tutoa hapa na kutuvusha katika Dira ya maendeleo.
Tumechoka kuburuzwa, kuinewa, kunyanyaswa kwenye mambo ya msingi yanayolihusu taifa hili.
Naomba niweke wazi kwamba mwqka 2015/2020 in mwaka Wa mabadiliko.
 

hahahahaaa kweli ukawa ni chama cha mambumbu ivi hua mnafikiri kabla ya kupost izo comment au mnaweka mradi tu conversation iwe kubwa? .....so magufuli mwepesi just b'coz ana kashfa ya kuuza izo mali? hahahaha huna akili....bora ukae pembeni unatudhalilisha
 
mungu hasimamii wasaliti


Mkuu, heshima hainunuliwi popote!! Hata kama unamchukia Dr kwasababu ya upande uliopo lakini si busara kutoa lugha zisizo na staha kwa jamii dhidi yake!

Natumai utakuwa umenielewa na utabadirika na kuanza kuleta hoja badala ya vioja hivi!!
 

Nakubaliana na wewe ndugu, hayo mabadiliko kwa sasa ni lazima. Tuwe pamoja
 
Kitu kinacho takiwa ni Kubadili katiba ya hii nchi ndiyo inayotupelekea yote haya. Mfumo uliyopo ni wa zidumu fikira za mwenyekiti hiyo staili ni mbaya sana.
 
Safari hii tunavunja magkufuli ya white house chimwaga.tunakunywa pombe za kuongwa na ccm.kisha tunachukua Slaa atulali mbele kwa mbele hadi ikulu .hakuna cha makufuli wala pombe hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…