Dr.Slaa ni lina atafunga ndoa na Josefin Mushumbusi? Nilimchangia mchango wa harusi yake mpaka leo haijafanyika,,,Kama harusi imemshinda aturudishie pesa zetu
Slaa hachoki tu mbio za uraisi, angepunzika tu ushauri wa bure.
Asante Yericko Nyerere kwa taarifa.tunasubiri kwa hamu "chakula cha akili" na ninaamini kitabu hicho kitatia chachu ya ukombozi maradufuUmefanya jambo jema sana mkuu kuanzisha uzi huu,
Niwaahidi tu wakuu, kitabu maalumu cha Dr W.P.Slaa kipo hatua za mwisho ambapo tunatarajia kukizindua siku ya kutangazwa mgombea wa Urais kupitia ukawa.
upo serious?Sasa kama huu uzi unamhusu Dr Slaa hiyo list of shame inahusika vipi na Dr Slaa?
upo serious?
unadhani kwa nini Dr.Slaa asiusishwe na List of ShameKwani hujaona alama ya kuuliza hapo mbele ya hiyo statement?
Labda rais kivuli.huyu ndiye Rais wa nchi hii.
unadhani kwa nini Dr.Slaa asiusishwe na List of Shame
We ndo mwenye majibu mi nimeshauliza swali.
Leta maelezo kama unayo au kama na we una maswali basi weka wazi wenye majibu wayalete.