Watu wawili tofauti kbs,labda upambanishe vyama kuliko hao viongozi uliowataja
Simple test waje kwenye mdahalo wa wazi ulioandaliwa na chombo cha habari huru
Ndugu Boliva,katika maisha unapofanya Comparison huwezi tu kuhukumu bila kutoa misingi unayosimamia.
kwa upande wangu watu hawa ni lazima maeneo flani wawe na uwiano na maeneo mengine wawe na tofauti.
Labda ungetupa kazi ya kujadili differences zao na similarities zao na kisha tukatoa maksi ndipo tukafikia mwisho wa kuhukumu nani zaidi.
Siku zote ushindi wa mpira unaamuriwa ndani ya dakika tisini na kama ni vinginevyo kunasababu mahalumu.
Mfano Barcelona na AFC zote ni timu za mpira zenye wachezaji 11 ndani ya uwanja.Lakini moja iko kule na nyingine iko huku..............................................
Sipendi kuhukumu nisije hukumiwa bali haki ndiyo msingi wa mafanikio.