Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

Narudia tena! Every who streches a skin drum, pulls the skin own his own side: Tafsiri kila mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake.CDM-Kata-Jf, bana wote kumbe upande wa lugha ya kingereza ni jangaa la kitaifa

The Holy Bible says,Proverbs 13:16,"All who are prudent act with knowledge, but fools expose their folly."

kingereza = kiingereza

jangaa = janga

Mengine umesaidiwa lakini hutaki kusaidika. Wengine wakikujibu usiwachukie, wanatimiza andiko tu:

Proverbs 26:5"Answer a fool according to his folly, or he will be wise in his own eyes."

msilumbane na watu wasio jua maana ya utaifa na maana ya kuwa mwana wa nchi keep it up my p

Every who streches a skin on drum, pulls the skin own his own side, unategemea mtu kama wewe ulivyokuwa mateka wa Mbowe utasemaje?

Na wasiwasi na kiingereza chako au ulisoma madrasal?

Picha za matukio mkuu. Uliahidi, tunaomba utufahamishe feedback ya yote yaliyojiri huko.

Hahahahahaha!ulimaliza kabisa hili gamba ritz!gamba gumu sana hili

Narudia tena! Every who streches a skin drum, pulls the skin own his own side: Tafsiri kila mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake.
CDM-Kata-Jf, bana wote kumbe upande wa lugha ya kingereza ni jangaa la kitaifa

Kwa kweli lugha haijakaa vizuri rafiki, kubali tu yaishe usiwe kichwa ngumu wakati umekosea mwenyewe.

Umemaliza yote asipojifunza hapa basi hata ukimtwanga kwenye kinu atabaki hivyohivyo tu.

Huyo ritz alisema yeye si ccm wala chadema halafu hana dini ni pagani mtu Kama huyu mnaendelea kuendeshana naye ni kumwacha tu

mbona ritz kihelehele sana??mbona mi sio wa kaskazini lakini dr phd ni rais wangu???? mbona unasemea watu umetumwa?????uwe unakua dada wewe mbona hivo??pamoja na upupu huu waote na giza totoro bado hujaona viongozi wako wametoboka kila sehemu hadi akili zao zina nyufa???acha kurudisha maendeleo yetu nyuma dada wewe! the true winner of general election 2010/2011 is dr Wilbroad Slaa na kila mtanzania analijua hilo hata kiwete anajua!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…