Yes you can with a bullet proof vest by blocking it, au?
Kazi uliyopewa/uliyojipa ni ngumu kwani unahitaji kuwa na kichwa cha mwendawazimu kupingana na wimbi la mabadiliko.Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi
Pro-CDM-JF, kwa maneno bana nakumbuka wakati wa maandamano Arusha polisi walipiga mabomu hewani, wafuasi wa CDM walisambaa barabarani zilibakia yebo yebo tu
Mbona Kafu mna hasira hivyo punguzeni mnkari Lipumba kukosa urais mara tano isiwavunje moyo try again and again and....

labda ni RAIS wa baba yako na mama yako, usirudie tena kupost upumbavu wako jf.
kwenye red ni mawazo kutoka kuzimu.

Mkuu Dr. Slaa siyo rais mtarajiwa, ni Rais anayeongoza kutoka kwenye mioyo ya watanzania wazalendo. Ni Rais anayesubiri kuapishwa.
Mbona Kafu mna hasira hivyo punguzeni mnkari Lipumba kukosa urais mara tano isiwavunje moyo try again and again and....

Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani
Every who streches a skin on drum, pulls the skin own his own side, unategemea mtu kama wewe ulivyokuwa mateka wa Mbowe utasemaje?

Taarifa fupi tu kwa wan JF ni kuwa Jimbo la Hanang ni kati ya majimbo yaliyokaliwa na viongozi wakubwa kitaifa, mwanzo alitoka waziri mkuu Fredirick Sumaye na sasa ni waziri wa uwekezaji na uwezeshaji Mary Nagu ambaye ameshawahi kushika nyadhifa mbalimbali za uwaziri ikiwemo waziri wa viwanda na biashara na waziri wa sheria Lakini mpaka leo ni jimbo mojawapo kati ya majimbo yasiyokuwa na maendeleo kama maji, barabara nk. Mbaya zaidi ni ufisadi uliokwishawahi kufanyika katika halmashauri na viongozi wakubwa kukaa kimya.
Yap yap hii nimeipenda ,hatuwezi kuwa Matonya kila kukicha wakati kila kitu tunacho.There is one and only one loser president in Tanzania...
Named JAKAYA MRISHO KIKWETE... YAANI BABA YAKO RIZIWANI...
Katika miaka 6 aliyokuwepo madarakani mitatu na nusu nchi haina umeme, ndiye anayeongoza kwa kuombaomba misaada, winners kama Dr Slaa haatembei na mabakuri ya kuomba misaada bcoz they have solutions for our national's problems. Losers like JK who dont have solutions ndio wanategemea uwezo na akili za watu wengine in terms of misaada au umatonya kusolve problems