Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo anatarajiwa kutua Katesh, Manyara mida ya saa nane mchana hivi.
Ataongea na wananchi wazalendo katika viwanja vya stendi na kesho Jumatatu atakutana na madiwani wa Chadema.
Habari zaidi na picha tutawajuza badae.

Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amaniFreedom Of Flag said:Mkuu Dr. Slaa siyo rais mtarajiwa, ni Rais anayeongoza kutoka kwenye mioyo ya watanzania wazalendo. Ni Rais anayesubiri kuapishwa.
Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani
Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi

Mkuu Dr. Slaa siyo rais mtarajiwa, ni Rais anayeongoza kutoka kwenye mioyo ya watanzania wazalendo. Ni Rais anayesubiri kuapishwa.
Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi

Hivi Dr Slaa ni mchaga? Ni vizuri hizi shule za kata ziangaliwe kwa ukaribu zaidi, zitatutengenezea mambumbu wa viwango vya kutisha!
Every who streches a skin on drum, pulls the skin own his own side, unategemea mtu kama wewe ulivyokuwa mateka wa Mbowe utasemaje?Yeah you are told the reality. Dr. is our president from our hearts. you can not stop the moving bullet, ni wizi tu wa magamba ndo umetufikisha hapa otherwise, he could be our presida, hatujachoka, hatutachoka, tutapambana hadi kieleweke.
Soma kwanza pandiko langu vizuri ndio ujibu, kwani Arusha wanakaa Wachagga!Hivi Dr Slaa ni mchaga? Ni vizuri hizi shule za kata ziangaliwe kwa ukaribu zaidi, zitatutengenezea mambumbu wa viwango vya kutisha!
Narudia tena a loser Dr Slaa, ni rais wa Wachagga.
Soma kwanza pandiko langu vizuri ndio ujibu, kwani Arusha wanakaa Wachagga!
Narudia tena a loser Dr Slaa, ni rais wa Wachagga, Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda Amani.
Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani
Yeah you are told the reality. Dr. is our president from our hearts. you can not stop the moving bullet, ni wizi tu wa magamba ndo umetufikisha hapa otherwise, he could be our presida, hatujachoka, hatutachoka, tutapambana hadi kieleweke.