Edwin Mtei
Senior Member
- Dec 13, 2008
- 181
- 342
:smilez: Nafarijika sana nikiwa Mwenyekiti Taifa Mstaafu na Muasisi wa CHADEMA, kusoma mchango wa Sabi Sanda na WanaJF wengine wanaotuunga mkono, na wanaotoa mawazo yenye ubunifu na yanayothibitisha uzalendo wa hali ya juu. Makao Makuu na Uongozi wa CHADEMA Taifa wanayachambua haya mapendekezo ili yatekelezwe kutuletea ushindi.
The entrance of Dr Willibrod Slaa in the race for the Presidency has rekindled a fire of hope for Tanzanians who had almost lost hope. But we need resources and proper organization to root out this moribund, corrupt political party which is unashamedly attempting to cling to power. Tanzanians have had enough of them and let us say so in October.
Wazo jingine ambalo ningependa WanaJF walitetee na kulipigia debe ni kwamba Wagombea wa Kiti cha u-Rais wawe na Mdahalo (Debate) katika Runinga. Wajieleza na kufafanua jinsi wanavyotaka kutekeleza majukumu yao ya kutatua matatizo yetu na kutuletea maendeleo. Kuwe na Moderator(s) wa kuongoza huo mdahalo wa kitaifa ili wananchi waweze kuamua ni yupi anafaa n.k.