Kwako wewe nunda na kwa kuwa mleta mada zile sehemu ambazo zingekupa uelewa ametumia lugha ambayo hujawahi kukutana nayo yaani kiingereza nitajaribu kukufafanulia. Ameeleze kuwa kwa jinsi anavyomfahamu dr. Slaa, uelewa wake katika siasa za hapa nchini na kimataifa,utendaji kazi wake na kwa kuwa analielewa lengo la kuunganisha nguvu za vyama kumkabili adui hawezi kuyaacha njiani au kuyasaliti mapambano kabla ya ushindi kupatikana hayo mengine yatashughulikiwa baada ya uahindi kupatikana. Nasi tulio wengi nasema tunamwelewa dr na kumwamini sana.Ulizia Kahama na Ushetu kuanzia m/kiti hadi viongozi wa juu wote wamehamia chadema. Sasa kawaeleze vinganganizi wenzio huko Lumumba kuwa pepo zinaendelea kuvuma na nyeti za kuku mtaendelea kuziona pia.
Na ndivyo itakavyokuwa kwani Mbowe ataendelea kuwa m/kiti wa chama na Slaa katibu kama kawaida. Unajua utaratibu wa chadema ni tofauti kabsa na wa ccm. Chadema raisi ana kofia ya uraisi tu na sie m/kiti wa chama. Serikali itasimamiwa na chama tofauti na kofia zote mbili ccm amerundikiwa raisi. Nani aikosoe serikali?