Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
Hapo kwa zzk mbona shida....watakuwa hawana akili kabisa!Dr slaa hastahili haya aliyofanyiwa na mbowe pamoja na Mzee Mtei, mark my word lazima watu wamfuate ZZK
Yaani Josephine avuje damu halafu regina awe first lady!!
Uongozi wetu wa chama chini ya Mbowe, Dr. Slaa, Baregu, Marando, Lissu, Mnyika, Mwalimu, Mdee tunaamini wapo makini, Mbowe mwenyewe alihakikisha kuwa haikuwa kazi rahisi kumpata Eddo, sasa yupo kwenye 18 zetu UKAWA tunatoboa.
Kwanza ieleweke kuwa CHADEMA tuna utaratibu wetu wa kumpata mgombea urais, tofauti na vyama vingine. Dr. Slaa angelikuwa anataka urais kwa utashi wake angekwisha chukua form zamani. Lakini kwasababu nia ni kuiondoa ccm madarakani ndiyo maana walikaa kama kamati wakafikia muafaka wa kumleta Eddo...... Pia ieleweke kuwa Dr. Slaa hajawahi kuota ndoto ya kuwa rais, lakini ameota ndoto ya kuifuta CCM. Kazi ya Dr. Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA ni kubwa na ya muhimu sana
So 2010 tulimpigia kura kumsindikiza JK?
Nitakuwa tofauti kidogo na wewe kamanda. Nimjuavyo mimi Dr.Slaa itakuwa ngumu sana kufuta kauli yake kwamba EL si fisadi kama ailvyofanya Mbowe na wenyeviti wenza wa UKAWA maana Dr.Slaa alienda mbali hakuishia kwenye Richmond tu bali hata uadilifu wa EL unatia shaka toka zamani. Dr.Slaa kalelelewa kwenye maadili ya akidini alikuwa padre hawezi kuwa mnafiki kumsafisha EL wakati kila mtu anajua jinsi EL alivyogawa pesa/Rushwa kwa WANEC wa CCM na waliomdhamini kila mtu anajua hilo. Amevunja taratibu za chama chake cha awali cha ccm kwa kuanza kampeni mapema na kujiona yeye ndio bora kuliko wote pale ccm (hii tabia inafanana na ZITO kabwe aliyeondolewa pale CDM). Sio Dr.Slaa tu hata Tundulissu itamuwia vigumu sana kumsapoti EL au kumsafisha maana alimtangaza live Dr.Slaa jkama mgombea wa UKAWA Moshi mjini na hata juzi juzi pale Kahama wakati wakienda kuwapokea akina Bulaya pale Mwanza kumbe Mbowe na yake moyoni anafanya usajili wa EL. Hii kitu inaumiza sana, Mbowe anafanya hivyo anajua haitamcost upande wake sababu kiu yake apepeleke tu mtu yeyote Magogonni bila kujali uhalali na uadilifu wake huku akijua yeye hataathirika sababu atabkai na uenyekiti wake watakaothirika ni wengine akina Dr.Slaa wagombea ubunge maeneo ambayo wavamizi wa ccm kwa gia ya EL watakwenda kuchukua nafasi . Ila Mbowe ake ajue Mungu analipa hapahapa duniani asishangae mara baada ya kushinda Urais uchaguzi wa 20120 Lowasa kaunda chama chake na wanaccm wenzake aliokwenda nao CDM. Kitendo alichofanya Mbowe ni kuigeuza CDM na UKAWA CCM B. N akumfanya EL ndiyo mkubwa na mwenye maana kushinda viongozi wote wa UKAWA kitu ambcho siamini kama ni sahihi. Mbowe anasema eti ni fursa ya kuwaunganisha watanzania, Unaunganisha Taifa bila kujali anayekwenda kuunganisha Taifa ni nani, ana uadilifu kiasi gani? Mbowe ulijenga chama cha CDM na utakiua chama cha CDM tuombe mungu 20120 sio mbali.