Dr. Usicheke tafadhali!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
747
Jamaa bonge la mtu kaingia kwa dokta.

Jamaa: Dr. nina tatizo huku sirini.
Dr: Hebu vua nguo tuone.
Jamaa: Poa navua ila plz usicheke, narudia usicheke.
Dr: Ucjali hii ndo kazi yangu siwezi kucheka mgonjwa.
Jamaa akavua suruali, Dr. kuona tu, maadili yakamshinda akaanza kucheka mbaya kama dakika 5 hadi machozi!! Kwani kabolo ka jamaa kalikua kadogo kama BETERY ya remote! Alipomaliza kucheka akamuuliza, haya tatizo nini?
Jamaa:Imevimba tokea juzi!!
Dr: Akazimia.
:faint::faint::faint::faint::faint:
 
Hahahahaha hahahah tobaaa haya bana nimecheka sana

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Dah....hii kweli kali!
 
Aliileta Bujibuji hapa miezi mitatu iliyopita
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana nimewambia na ndugu zangu mbavu hawana! Sikuwahi kuona km umecopy; please don't try this at JF home or at school.Stay safe(wwe)
 
huyo atakuwa Doc african/arab....sidhani kama wa marekani angecheka.

LOL
 
Hii ni kali aisee, nimecheka ofisini mpaka wafanyakazi wenzangu wamenishangaa. Tatizo natumia katelephone otherwise ungekoma na likes zangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…