Dr Ulimboka

Dr Ulimboka

congobe

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
561
Reaction score
131
wana JF habari za leo wapendwa naomba kufahamishwa juu ya Case ya anaedaiwa kumteka Dr Ulimboka inaendeleaje ?
 
Kova alimpeleka kichaa mahakamani so nadhani atafutiwa mashtaka muda c mrefu
 
Hii ndo sifa kubwa ya Watanzania.......NI WEPESI WA KUSAHAU.Linapotokea jambo lolote lile, ni wepesi kwa kuinua shingo zetu, kupiga kelele, na kuapa kwa miungu yote kuwa waliotufanyia madudu watakiona cha mtema kuni.....THUBUTU!Tukio lile la kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Dr. ULIMBOKA, liliamsha hasira za watanzania wengi, kila mmoja akisema na kulaani kivyake, wengine waliinyooshea kidole serikali, wanaharakati wakalaani , wanasiasa wakalaani na kuibeba kama ajenda ya kisiasa, wanahabari nao halikadhalika.....LEO HII CHALI!Tume iliundwa na jeshi la polisi nadhani, matokeo ya uchunguzi wake yako wapi!Aliyekamatwa tuliambiwa ni Mkenya, Ubalozi wa KENYA ukaahidi kuchunguza ukweli wa uraia wa huyo mtuhumiwa , KINACHOENDELEA NI NINI? Hakuna taarifa yoyote juu ya hilo.Waliotajwa kuhusika na unyama ule, aliyewataja....Hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuhojiwa na jeshi la polisi nchini mpaka leo hii....KAMA AMBAVYO JK HUSEMA "NI UPEPO TU".....na kweli upepo, umeshapita na kila mtu anaendelea na issue zake kama hakujawahi kutokea jambo lolote lile.....TUMESAHAU TAYARI!WATANZANIA TUACHE UNAFIKI, TUACHE KUBURUZWA NA MATUKIO, TUSIMAME TUKAMEE NA KUSHINIKIZA HATUA STAHIKI ZICHUKULIWE DHIDI YA WAHALIFU,TUSIWE WEPESI KUSAHAU.....TANACHEKWA!
 
Ndugu yangu umeongea wazo zuri sana: Na katika magonjwa mabaya kwa watu wanaonyonywa na kukandamizwa ni UNAFIKI. Hapa tulipo sisi tunaishi kama WAKULIMA ambao UMOJA kwao ni ndoto kama KARL MARX alivyowahi sema siku moja "peasants are like potatoes in a basket; so united but when you throw them outside every one will go its own way". Sasa sisi watanzania ni washabiki wakubwa sana wa MATUKIO na kweli kila mmoja anakuwa symphathetic mno, ila baada ya muda kidogo tu kila mtu anaendelea na wajibu wake kama vile HAKIJATOKEA KITU. Na hili WATAWALA wameligundua kuwa wanatuongoza WAJINGA NA WANAFIKI wanachofanya kila tukio KUUNDA TUME ya uongo kwani wanajua hakuna MTANZANIA atakae hulizia MAJIBU YA TUME HATA SIKU MOJA. Nafikiri tunachomis WATANZANIA kikubwa ni UELEWA MKUBWA (GRAND CONSCIOUSNESS), ambao ndio msingi mkubwa wa TABAKA NGANDAMIZWA NA NYONYWA kuelewa kuwa linanyonywa na kugandamizwa na kuanzisha michakato ya kufanya MABADILIKO YA KIUTAWALA NA KIMFUMO ili kuleta USAWA. Na hapo Karl Marx anasema ni vigumu sana KUFANYA MABADILIKO kama tabaka gandamiza/nyonywa kwanza alielewi na PILI NA MUHIMU kwamba HALIJUI kama linagandamizwa, na hii inaletwa na TABAKA hilo kuwa LINAGANDAMIZWA NA KUNYONYWA kidogo. Sasa ili lielewe INABIDI LINYONYWE NA KUGANDAMIZWA SANA TENA SANA. Hapa ndipo tatizo kubwa sana kwetu NINGEOMBA WATAWALA WETU WAWE WANATUPIGA VIBOKO NA KUDAI PESA YA LUNCH/ADA/DINNER KILA SIKU (WENDA IKASAIDIA KUAMUSHA HISIA ZA UELEWO) ILI KILA MMOJA WETU ATAMBUE KUWA INABIDI SASA TUFANYE MABADILIKO NA TUANZISHE VUGUVUGU ZA MABADILIKO OTHERWISE kila mmoja anaawaza KAZI, SHULE YA MTOTO WAKE, NA KWENDA KUFANYA DEALS ILI FAMILIA YAKE IWEZE ISHI LEO wakati tunasahau kuhusu KESHO. Kizazi kijacho KITATUFUKUA MAKABURINI NA KUTUUA UPYA KWA UPUMBAVU TUUFANYAO LEO KWANI HATA AKINA mangungo ambao walikuwa HAWAJASOMA kabisa HAWAJAWAHI KUUFANYA NA HATA KUUKARABIA KUUFANYA. Naandika huku NALIA, NIKIWALILIA WATANZANIA WENZANGU wanaoteseka kwaajili yetu tusio NA HURUMA WALA UELEWO WOWOTE. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika...
 
Hii ndo sifa kubwa ya Watanzania.......NI WEPESI WA KUSAHAU.Linapotokea jambo lolote lile, ni wepesi kwa kuinua shingo zetu, kupiga kelele, na kuapa kwa miungu yote kuwa waliotufanyia madudu watakiona cha mtema kuni.....THUBUTU!Tukio lile la kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Dr. ULIMBOKA, liliamsha hasira za watanzania wengi, kila mmoja akisema na kulaani kivyake, wengine waliinyooshea kidole serikali, wanaharakati wakalaani , wanasiasa wakalaani na kuibeba kama ajenda ya kisiasa, wanahabari nao halikadhalika.....LEO HII CHALI!Tume iliundwa na jeshi la polisi nadhani, matokeo ya uchunguzi wake yako wapi!Aliyekamatwa tuliambiwa ni Mkenya, Ubalozi wa KENYA ukaahidi kuchunguza ukweli wa uraia wa huyo mtuhumiwa , KINACHOENDELEA NI NINI? Hakuna taarifa yoyote juu ya hilo.Waliotajwa kuhusika na unyama ule, aliyewataja....Hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuhojiwa na jeshi la polisi nchini mpaka leo hii....KAMA AMBAVYO JK HUSEMA "NI UPEPO TU".....na kweli upepo, umeshapita na kila mtu anaendelea na issue zake kama hakujawahi kutokea jambo lolote lile.....TUMESAHAU TAYARI!WATANZANIA TUACHE UNAFIKI, TUACHE KUBURUZWA NA MATUKIO, TUSIMAME TUKAMEE NA KUSHINIKIZA HATUA STAHIKI ZICHUKULIWE DHIDI YA WAHALIFU,TUSIWE WEPESI KUSAHAU.....TANACHEKWA!
ni upepo tu huo utapita...
 
JamiiForums
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari

- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari
- CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa?
- Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua?
...See More
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari - Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari - CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa? - Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua? - Kama video hii ni fake, mhusika (Lwakatare) anafahamu nani aliandaa video hii, awape ushirikiano polisi kumtia nguvuni mwandaaji kwa uchochezi! Tazama Video hii hapa --> CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
 
Ulevi noma! Naona tayari umeshalewa

Aibu juu yao. Waliweza kumpeleka kichaa mahakamani bila hata kumhoji mhusika wa tukio Dr. Ulimboka hadi hii leo, kuna kesi hapo? Maisha ya Dr. Ulimboka kwao ni maisha ya kuku ndio maana hadi hii leo hata waliotajwa na mhusika hawajawahi hata kuulizwa. Hii ndio Tz bana.
 
JamiiForums
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari

- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari
- CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa?
- Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua?
...See More
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari - Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari - CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa? - Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua? - Kama video hii ni fake, mhusika (Lwakatare) anafahamu nani aliandaa video hii, awape ushirikiano polisi kumtia nguvuni mwandaaji kwa uchochezi! Tazama Video hii hapa --> CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
Nape Nnauye leo umeangaika kweli
 
Last edited by a moderator:
Hamna kesi pale ni film inaitwa afande Kova+magamba style.
 
Hata igp wakati huo omary mahita alionyesha siraha za cuf kama visu vyeney nembo za cuf lilipita lakini madhara yake kwa cuf yalikuwa makubwa katika uchaguzi wa 2005
 
ni upepo tu huo utapita...

Kaka umezungumza jambo la maana kabisa wabongo ni watu wa maneno mengi vitendo sifuri tunachonga sana bila kuteki action. Nawapa Big up wakenya wako serious juzijuzi kabla ya uchanguzi wabunge walikaa bubgeni wakataka kujiongezea posho wakenya hawakubiga kelele kama vile ambavyo sisi tungefanya wao waliandamana na majeneza meusi ambayo idadi yao ilikuwa sawa na idadi ya wabunge wa kenya mwisho wa maandamano yao waliyachoma yale majeneza kama ishara ya kuwazika na walionyesha pia kwenye uchaguzi wa juzi ambapo wabunge wengi walitoswa. Hiyo ni nzuri unaonyesha unachukia jambo kwa vitendo lakini si kwa maneno tu kama tulivyo wabongo hata viongozi wetu wamesha tuzoea wanajua hawa watasema tu nayataisha ikifika wakati wa uchaguzi watatudanganya kwa peremende na tunawapa kura
 
Na Dr ulimboka yupo wapi siku hizi au kanyamazishwagwa?

Binafsi nadhani Dr. alishapoozwa na akakubali kutulia. Sijawahi kusikia akielezea mkasa wote ulivyomkumba kama alivyoahidi.
Na kama alifanya hivyo basi sikubahatika kupata hizo habari, na kama amewekwa sawa akatulia atakua amefanya ubaya ambao utaondoa huruma zote za mateso aliyoyapata.
 
Back
Top Bottom