sasa umepost nini mkuu
haina haja ya kuweka vyeti hapa bali kufungua kesi dhidi ya Pinda na Mponda/MpondwaAweke vyeti vyake hapa tumsome coz wanasema sio dr. Wa ukweli
Jamaa kumbe mzoefu wa migomo, 2005 aligoma akaishia kumuomba Rais msamaha. Halafu udaktari wake umekaa kisiasa siasa. Madaktari kueni macho naye.safi sana kiongozi, wataisoma tu namba yako
Jamaa kumbe mzoefu wa migomo, 2005 aligoma akaishia kumuomba Rais msamaha. Halafu udaktari wake umekaa kisiasa siasa. Madaktari kueni macho naye.