Nime kutmia pm.
watanzania wenzangu tuwe hivi hata lini?
Tunakubali kudanganywa na kudaganyika hata lini?
Wewe unayesema Dr Ulimboka aite press conference, kwani unataka kusikia yepi tofauti ya liyokwishasema na video kuwa uploaded kwenye YouTube? Au ni kipi zaidi ya aliyoyaandika Said Kubenea?
Taarifa zote mbili ulizifanyia kazi gani? Je ulichukua hatua gani? Unabaki kuwa mtaalamu wa kuandika kwenye keyboard lakini action iko zero halafu unathubutu kuwaita wengine waoga, wanafiki.
Kaka/dada acha hizo mkuu, haisaidii hata kidogo. Muacheni Dr Ulimboka apumzike na akijiskia kusema lolote au hata kukaa kimya tutauheshimu uamuzi wake. Aliyotufanyia ni makubwa sana katika harakati za haki nchini mwetu
otherwise mtoa thread acha unafiiki, chuki, umbea na uzabizabina. Sioni nikuite neno gani zaidi ya hivyo as it fit your description
hahahahaha,et kompyuta ya kizamani! Watu wagomvi! Lool, hata kama umechapia spellings kidogo,but well said mkuu!
Mi nilishamdharau sana ulimboka
Enzi zetu chuoni wakati wa migomo/kunji tulikuwa tunawajaza watu jazba kwa kutumia ule wimbo maarufu wa solidarity 4 ever af wakikolea wewe unarudi nyuma kule,mabomu na virungu vinawahusu,ndio tabia za baadhi ya watu hapa jf.
Kwa hiyo ujasiri wako umeishia kwenye ku-pm, lakini Ulimboka unademand lazima awe na ujasiri wa kuita press!!! interesting...
Nibhibhwe ikinyakyusa but nilitaka niseme unamtetea Dr. Ulimboka watakuja kumuua Mwakyembe style. Na kama wewe ni usalama wa taifa njooni mnikamate, nasema hivi Dr. Mwakyembe kategewa kwenye vyakula sumu ya arsenicUkajha kanunu munntu ughwe!, mbona naye amekudharaau wewe kwa kushindwa kufanyia kazi taarifa alizozitoa!?? tuacheni unafiki jamani
Huyu ndugu yetu alikumbwa na machungu yaliyomgusa kila mmoja wetu! Nchi nzima ilizizima, na kuamini (nakuweka msisitizo kwenye tunacho fahamu) kua vyombo vya dola ni wabaya. Tukajitolea kwa matibabu yake, hadi kufikishwa hosiptali SA ambapo hata huko tulihisi serikakali ya Tz bado ingaliweza kumfuatilia na kummalizia !. Mimi kama mimi iliniuma sana.
Tunashukuru Mungu, kwa uwezo wake kapona na karejea nchini. Watu walitoa maoni mengi mitandaoni ambayo naamini ilimfikia kua akija aibukie press conference na kuyasema yote. Hataivyo, kutokusema siku ileile hatukushangaa sana maana jamaa lazima apumzike japo kidogo! Na akusanye kumbukumbu vizuri hata kukumbuka simu yake ilipo! .
MY TAKE:
1. Huu muda uliotumia kukusanya kumbukumbu ni mrefu sana,
2. Unajaza wasiwasi.
3. Hicho unacho subiri kwanini usieleze uma?
4. Hukumbuki kua wewe ungalikwisha 'decompose' (inaniuma sana)
5. Unaumiza vichwa vya watanzania wengine wapenda haki.
6. Vikao na kamati za serikali ni vyanini tena wakati walipopanda gari kukuacha Msituni usiku walijua wamekuua?
7. Utakayo yasema hata sasahivi, bado kutakua na hojaji tofauti kisa kutokuaminika tena.
8. Kumbuka ulishasema watu waachane na familia yako , wewe ndio ufahamuye ukweli.
9. Kumbuka kuna mengi yaliyo wakumba wanao kutetea
10. Mods naombeni msichanganye hii thread na ile inayosema " polisi leo kufunguka. . . . "