mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
ulimboka kwa kwa sasa ni mtaji kwa wanasiasa majukwaani na wanaharakati katika kujipatia mafungu ya fedha kwa wafadhili,.report zao kwa sasa hazikosi jina la ulimboka.take it from me
Kunyamaza kw Dr. Ulimboka hakumpi uhakika wala kunusuru usalama wake. Wahusika wa mpango wa kumteka wangependa hali iendelee hivi, yaani yakikudhaniadhania tu bila tamko rasmi kutoka kwa muhiska. Nahisi kuna uwezekano wa mpango wa uhakika zaidi ya ule awali maana nao wanapenda kuwa na hakika kuwa hakuna hata sikumoja akatokea mtu wa kuaniaka adharani uwazi wa tukio. Iko siku atanyamazishwa kabisa na hapo utakuwa mwisho wa sinema maana sterling atakuwa kaondoka. Namshauri aseme lililotokea. liwalo na liwe! Akiisha sema atakuwa ametua mzigo aliojitwika na itabaki kwa wasikilizaji kuchambua, wakujikosha wajikoshe, wakijitetea wajitetee, wakuamini waamini, wakupotosha waposhe lakini yeye atakuwa huru. Naamini kuwa watekaji wanamuhutaji zaidi Dr. Uli kabla hajasimulia tukio kuliko watakavyo muhitaji baada ya simulizi maana hawatakuwa na la kuzuia. Asome hii thread atafari na afanye maamuzi magumu.
ni juu yake kuchagua kati ya heahima na utu wake au pesa, asiposema atakuwa amewasaliti wote waliomsapoti, just too bad.
mwacheni ulimboka apiganie uzima wake,acheni siasa katika maisha ya watu,acheni kumtumia ulimboka kisiasa
Jamaa kagoma kutoa siri aliyonayo, wanahabari wanajaribu kumchokonoa aiseme. Kwa nini tusisubiri tu
Kama ukweli upo tume ya nini ?
mwacheni ulimboka apiganie uzima wake,acheni siasa katika maisha ya watu,acheni kumtumia ulimboka kisiasa
Yule ni binadamu, anaweza kutafakari na kuchukua uamuzi sahihi, issue hapa siyo madaktari kumsaliti, kishaona suala lake linatumiwa kisiasa wakati yeye ni mtaalamu. Namuunga mkono Ulimboka kwa uamuzi huo. Awaachie akina Kubenea ndo size ya majungu.
je una uhakika hao wahusika wanaamini kwamba jamaa atakubaliana nao moja kwa moja?watamfatilia sana na anaweza kujikuta anawindwa na kufuatiliwa mpaka kwa watu atakaokuwa anawasiliana nao kwa karibu.pili waandishi wa habari lazima watamsumbua sana tu je hao waliomtaka anyamaze watakuwa na uhakika gani kwamba hatosema chochote kwao?huoni kwamba hii itamweka hatarini zaidi pindi hao waliomtaka anyamaze wakihisi kwamba huenda siku moja akaropoka.hata hivyo yeye ndio muamuzi ila ikitokea baya lolote likamfika kabla hajasema baadhi ya watu watafurahi kwani tayari watakuwa wamesha mchukulia kama mnafiki tayari.na kama alijua kama kuna hatari wakati wa mgomo hakuwahi kuhisi kwamba ile hali ya kuwa kiongozi wa mgomo ni hatari kwake.nawasilisha.Wewe jina lako halisi tu unalificha, hutaki bughudha kujulikana unawaza nini, unasema nini. Lakini mwenzako unamshauri afanye maamuzi magumu! ..., changanya na za kwako!
kipindi cha mgomo hakujua kama anaipiga majungu serikali we ngoja yamfike ya kumfika sijui atamlilia nani.Nakuona unahangaika sana pole sana