VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Dr. Ulimboka hakulazwa kwakuwa ameanguka kwa presha alipokuwa Bungeni,Hotelini au kwenye Kikao cha Mawaziri.Amelazwa kufuatia mateso makali aliyoyapata kutoka kwa watu 'wasiojulikana'.Bado ana maumivu makali mwilini mwake.Anahitaji muda wa kutulia na kupokea matibabu ipasavyo kuokoa viungo na maisha yake.Kwenye chumba alimolazwa,yawapasa Madaktari tu wamshughulikie mwenzao na kiongozi wao.
Si vyema kumtembeleatembelea Dr.Ulimboka kana kwamba watu wanakwenda kwenye Maonyesho ya SabaSaba.Zipo sura zikionwa na Mgonjwa zinamtisha.Nyingine zinamhuzunisha.Zipo zinazomkasirisha.Kutishwa,kuhu zunishwa na kukasirishwa kwa mgonjwa mara kwa mara kuna maana kubwa.Kunaathiri matibabu yake.
Dr.Ulimboka aachwe apokee matibabu.Kwa hali aliyonayo,anahitaji faragha labda tu na familia yake.Dr.Ulimboka havutii machoni kwa sasa.Anasikitisha na kuhitaji maombi ya watanzania wote.Yeye si kiumbe adimu ambacho kinahitaji kuangaliwaangaliwa.Aachwe apate matibabu.Watu wasijitafutie umaarufu kwa kupitia mateso yake makuu.Apone.Na mwishio mwishoni aseme neno moja tu...
Asante Mkuu...Umenena, walio karibu nae zaidi wasimamie matibabu na usalama wake kwa karibu sana na sisi wengine tuendelee kumuombea mwenyezi Mungu amrejeshee afya yake haraka iwezekanavyo. Tuheshimu privacy ya Dr. Ulli na maoni ya wataalamu wa tiba ili dakitari wetu apone haraka. Asante sana Vuta.
naunga hoja mkono, hajawa kaka kuona yuleDr. Ulimboka hakulazwa kwakuwa ameanguka kwa presha alipokuwa Bungeni,Hotelini au kwenye Kikao cha Mawaziri.Amelazwa kufuatia mateso makali aliyoyapata kutoka kwa watu 'wasiojulikana'.Bado ana maumivu makali mwilini mwake.Anahitaji muda wa kutulia na kupokea matibabu ipasavyo kuokoa viungo na maisha yake.Kwenye chumba alimolazwa,yawapasa Madaktari tu wamshughulikie mwenzao na kiongozi wao.
Si vyema kumtembeleatembelea Dr.Ulimboka kana kwamba watu wanakwenda kwenye Maonyesho ya SabaSaba.Zipo sura zikionwa na Mgonjwa zinamtisha.Nyingine zinamhuzunisha.Zipo zinazomkasirisha.Kutishwa,kuhu zunishwa na kukasirishwa kwa mgonjwa mara kwa mara kuna maana kubwa.Kunaathiri matibabu yake.
Dr.Ulimboka aachwe apokee matibabu.Kwa hali aliyonayo,anahitaji faragha labda tu na familia yake.Dr.Ulimboka havutii machoni kwa sasa.Anasikitisha na kuhitaji maombi ya watanzania wote.Yeye si kiumbe adimu ambacho kinahitaji kuangaliwaangaliwa.Aachwe apate matibabu.Watu wasijitafutie umaarufu kwa kupitia mateso yake makuu.Apone.Na mwishio mwishoni aseme neno moja tu...
ushauri mzuri mkuu, hakika ni ushauri unaofaa.watanzania kila mtu kwa imani yake tumuombee dr.ulimboka. Amefanyiwa kitu cha kinyama.hakika mungu atampigania. Ee Mungu wafichue hawa watu,waaibishe milele,wewe Mungu waweza.amen