William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Mkuu huyo jamaa ni mtoto wa Mzee Malecela... hawezi kuiponda CCM na Makamba kwa sababu ndio inayomuweka hapo NY, otherwise piga lapa tu
W.J. Malecela my friend you are not missing something rather the whole thing. Let's assume CCM ilishinda kihalali alafu tuashum 2005 ilikua baseline kwa Mwl aliyefukuzwa kazi Makamba na Dr. Slaa(PhD). Tuchukue uchaguzi wa 2010 kama reference point yetu kwa analysis, na indicator iwe ni status ya chama in terms of number of MP seat gained, popularity and acceptance ya chama na stability ya chama 2010/2011.
Then make the math yourself kabla hujaandika hiyo comment yako.
Jaribuni kuwa critical na msiwe washabiki
hata baba yako leo akiiona hii post atafadhaika sana.
Hivi baiskeli ya mbao inaweza kuwa na kasi kuliko Landcruiser vx?acha woga maisha yanawezekana hata bila kumlamba viatu JK
Indeed you are missing something!
Does international standards allow vote rigging? If you refer to international standards you should also measure the election process won by him on the same international standards.
Sikupenda sana kuaminin tena harakaharakla kuwa hata watu wazima na wasomi wazuri kama wewe unatoa arguments za kidhalilishaji namna hii.lakini sikushangai kwa kuwa wewe ni mmoja ya wanywa maji ya bendera wazuri mlio kamatwa akili na makamba kuwa kazi ni moja tu.yaanim kushinda uchaguzi.yawezekana japo sina uhakika sana kuwa kama sio makamba hungekuwa hapo ulipo sasa.ploe kwa kutumiwa na vuvuzela.
Kama huna cha kutuhabarisha ni heri uishie kusoma mawazo ya Great Thinkers!! Swali kama hili ilnashusha hadhi JFGreat Thinkers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!BAADA YA KUWALINGANISHA WENYEVITI WA VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI KWA KUDADISI UTENDAJI WAO WA KAZI YAANI KIKWETWE(CCM) Vs MBOWE (CHADEMA), LEO NINAOMBA MAONI YENU NI NANI KIONGOZI BORA KWA NAFASI YA UKATIBU WA CHAMA KATI DR.SLAA(CHADEMA) NA MAKAMBA(CCM)?
VIGEZO
utawala bora
uwajibikaji
uzalendo
ubunifu
uadilifu
busara katika kazi
kuheshimu utawala wa sheria na demokrasia. TOA MAONI YAKO
BAADA YA KUWALINGANISHA WENYEVITI WA VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI KWA KUDADISI UTENDAJI WAO WA KAZI YAANI KIKWETWE(CCM) Vs MBOWE (CHADEMA), LEO NINAOMBA MAONI YENU NI NANI KIONGOZI BORA KWA NAFASI YA UKATIBU WA CHAMA KATI DR.SLAA(CHADEMA) NA MAKAMBA(CCM)?
VIGEZO
utawala bora
uwajibikaji
uzalendo
ubunifu
uadilifu
busara katika kazi
kuheshimu utawala wa sheria na demokrasia. TOA MAONI YAKO
Makamba labda umshindanishe na Maalim Seifu Sharrif Hamad, lakini kumshindanisha na Dr Slaa ni sawa na unashindanisha Bajaj ( Makamba ) na Caterpillar ( Dr Slaa. )