Dr Slaa vs Makamba

chechekali

Member
Oct 18, 2010
33
14
Naomba tuwalinganishe hawa makatibu wa vyama hivi tuone nani zaidi kwa vigezo vifuatavyo:-
1:Kiutendaji
2:Ujenzi wa hoja
3:ufafanuzi wa hoja
4:Uwajibikaji
5:Usimamiaji wa haki za wanachama na taifa
6: Uwezekano wa kumsimamisha kugombea nafasi kubwa kama ya Uraisi
7:Uelewa wa katiba na sheria za nchi
8:Busara
9:Uzalendo
 
Dr. Slar and 78% na makamba ana 05%. Kwa mtaji huo mshindi .................
 
Naomba tuwalinganishe hawa makatibu wa vyama hivi tuone nani zaidi kwa vigezo vifuatavyo:-
1:Kiutendaji
2:Ujenzi wa hoja
3:ufafanuzi wa hoja
4:Uwajibikaji
5:Usimamiaji wa haki za wanachama na taifa
6: Uwezekano wa kumsimamisha kugombea nafasi kubwa kama ya Uraisi
7:Uelewa wa katiba na sheria za nchi
8:Busara
9:Uzalendo

Slaa ni mlima mrefu kuliko yote duniani na Makamba ni kichuguu kidogo kuliko vyote duniani! Why Compare?
 
Unamvunjia heshima Slaa kwa kumpambanisha na Makamba katika hayo uliyoyataja. Ni sawa na kupambanisha timu inayoshiriki ligi ya mabingwa Ulaya na kombaini ya kijijini kwetu.
 
Huwezi kulinganisha Makamba na Dr.Slaa! ni sawa na Mwanafunzi wa Chekechea(Makamba) na Graduate mwenye PhD (Slaa) au Shetani (Makamba) na Malaika (Slaa). au Maiti (Makamba) na Mtu anayeishi (Slaa).
 
shit,mbona unamtafutia umaarufu mikamba kwa kumpambanisha na slaa?
 
kweli ulikua na nia nzuri alakini makamba na doctor hapo umekosea.cv ya makamba iko blank.While doctor is global.thanks
 
Mtoa mada naweza nikakuthaminisha na juu ya uelewa wako nivigumu kuleta mada hii hapa kwakulinganisha uwezo wa mtu hapa kwenye JF hivi unajua Makamba vyeovyake nivya kushikishwa??Shule aliikimbia!!Iweje wewe leo umlinganishe na DR??PhD??Hapana acha dharau zako bwana nakuheshimu nakuomba tuendelee kuheshimiana tafadhali usiniharibie siku asantae nadhani utakuwa umenielewa!!
 
Mtoa mada naweza nikakuthaminisha na juu ya uelewa wako nivigumu kuleta mada hii hapa kwakulinganisha uwezo wa mtu hapa kwenye JF hivi unajua Makamba vyeovyake nivya kushikishwa??Shule aliikimbia!!Iweje wewe leo umlinganishe na DR??PhD??Hapana acha dharau zako bwana nakuheshimu nakuomba tuendelee kuheshimiana tafadhali usiniharibie siku asantae nadhani utakuwa umenielewa!![/QUl
lengo ni kuwaonesha ccm kwamba makamba ni mmoja waviongozi viraza walio nao na si kumpambanisha na Dr Slaa. CCM wanamwamini sana makamba na nazani ndo kichwa chao so nadhani jibu wamelipata
 
lengo ni kuwaonesha ccm kwamba makamba ni mmoja waviongozi viraza walio nao na si kumpambanisha na Dr Slaa. CCM wanamwamini sana makamba na nazani ndo kichwa chao so nadhani jibu wamelipata
 
Naomba tuwalinganishe hawa makatibu wa vyama hivi tuone nani zaidi kwa vigezo vifuatavyo:-
1:Kiutendaji
2:Ujenzi wa hoja
3:ufafanuzi wa hoja
4:Uwajibikaji
5:Usimamiaji wa haki za wanachama na taifa
6: Uwezekano wa kumsimamisha kugombea nafasi kubwa kama ya Uraisi
7:Uelewa wa katiba na sheria za nchi
8:Busara
9:Uzalendo

uwezi kulinganisha hawa watu hata kidogo, makamba hana uwezo wa yote hapo uliyoyataja,ni mweupe labda ungeongeza la ushirikina ndipo angefaa,yule ni msanii jumla hata nashangaa na ccm kuendelea kumkumbatia!hapo ndipo uwa nashindwa kuielewa ccm kabisa!,najiuliza sipati jibu,kama wanabebana kwa mambo yaliyopo wazi kama haya je kwa yale yaliyojificha kama dowans tutegemee nini?ianauma sana kuongozwa na genge la aina hii!
 
Aisee dr wa ukweli banaaaa.........makambako mropokaji na mpayukaji....domo lake linamuweka mujini...
 
Back
Top Bottom