Watanzania sasa tumeendelea kidogo, tumetoka KU'DEEP mpaka KU'BEEP.
Kwa maoni yangu, Dr. Slaa wakati anaombwa kuchukua form ya urais, nadhani alikuwa anajua kuwa hata pata urais, wala hakupima muitikio wa watanzania.
Nionavyo mimi CHADEMA walimtumia Dr. Slaa kugombea ili kuongeza viti vya wabunge kutokana na uadilifu wake ili kuuza wagombea wa udiwani na ubunge majimboni, pia huenda lengo na madhumuni ni kukikuza chama.
Kutokana na hali ya kisiasa kwa sasa na mwenendo wa kampeni ulivyo, na kutokana na CCM kuzidi kuweweseka, ni dhahiri kabisa kuwa mabadiliko makubwa yatatokea.
Dr. Slaa binafsi huenda haamini kinachotokea, CHADEMA pia wanashangaa.
Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, KAMA ALIWA'BEEP WATANZANIA, BASI WAMEAMUA KUMPIGIA, HAWABAHATISHI, AZIDISHE KAMPENI, NA AJIANDAE KUINGIA IKULU.
Nawakumbusha CCM na maneno ya Lula wa Ndali-Mwananzela kuwa "Mbinu ya vyombo vya dola kutumia nguvu kuzima mabadiliko zimeshaonyeshwa mara kadhaa kushindwa. Zimeshindwa Zimbambwe, zimeshindwa Ukraine, zimeshindwa Kenya, zitaendelea kushindwa kwani kila zama zina mashujaa wake na kila shujaa ana ujumbe wake".
Kama amebeep anaweza asipigiwe simu. kuna watu ukiwabeep hawapigi.
Mbio za sakafuni huishia ukingoni...Mtashangaa siku ya mwisho kwani ilikuwaje enzi zile za Mrema...wafuasi niwengi sana lakiniwapigakura ni wachache....CCM for 2010 read my words hakuna cha DR slaa wala cousin wake Dr Slaa.....Lets Go CCM Na tulenge JUU Thats out Motto@.
xoxo BM

Uzuri wa upinzani wa bongo ni mabingwa wa kulalamika na kushindwa yaani baada ya oct 31 ccm itapokuwa imetoa kipondo, dr. Slaa atakuwa kama mrema, bingwa wa kushindwa. Kisiasa a\takuwa kaisha, hata sasa si unaona kila siku yeye na wenzake wanaongoza kwa kampeni za malalamiko na udini.
Baki na maringo yako, lakini ujumbe ni huo, Slaa hakuutaka Uraisi na pengine ni kweli kwamba wenzie walitaka kumtumia wapate wabunge na madiwani, lakini sasa kila ishara inaonyesha ile 'deep' sasa kweli imekuwa ni 'beep' na yeye ameichangamkia, amepiga simu na wananchi wameipokea na hakuna kum-beep tena ila wanampigia, wanamhitaji. Sasa kwa nini JK na kundi lake wanataka kuwakatia simu zao hawa wananchi wenye hamu ya kuzungumza na jamaa yao, kweli wanafanya kitu kibao mwanetu, eti hebu fikiria wewe unampigia simu mtu kwa hamu kubwa mno halafu lijamaa linakunyanganya hio simu au linapiga makelele ili usimsikie! Sio vizuri Bint Maringo, usiingilie mapenzi ya mwenzio!