Dr Slaa ulimwelewa Askofu Gwajima?

Nikwelli maana Joséphine. Sasa hiv hataki kula tena mihogo vile vijisent walivyopewa vimeisha Josephine keshachonga dili lingine ili visent vipatikane

Teh teh teh, wameuza utu kwa vijisent ona sasa vimeisha na aibu bado ipo kwao sasa.
 
Gwajima yupi? Au yule Askofu wa CHADEMA?
Maana CHADEMA imejaa wachungaji na sasa Askofu ndiye anayeongoza chama

CCM kumejaa wasafirisha pembe za ndovu, wanyanyasa WAISLAM na wafunga Masheikh... vipi hapo?
 
naskia upo live leo, mwenye taarifa kamili.
 

Huyo Gwajima ameamua kutumikia Mabwana wawili,Yesu Kristo na Chadema.Nawahurumia waumini wake
 
Last edited by a moderator:
Na mm Gwajima nashindwa kumuelewa yeye ni nani hasa, mwanasiasa au kiongozi wa dini?
 
Huyo Gwajima ameamua kutumikia Mabwana wawili,Yesu Kristo na Chadema.Nawahurumia waumini wake

kweli watu hamjielewi dini ni kitu kingine na siasa ni kitu kingine, isipokuwa kuna uwezekano mkubwa wa kufanya vitu hivi vyote viwili kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…