youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
hofu yako ni nini akija kuzungumza.
Gwajima nindio nani hadi amzuie ndio maana Mkapa aliwaambia ukweli mkasema aliwatukana
Ha! Ha! Ha!
Nimeona headline kwenye gazeti la Sani
DR SLAA KUREJEA NCHINI, Kuzungumza na waandishi wa habari siku tatu kabla ya uchaguzi
sasa nakuuliza wewe Dr.W.Slaa hukumsikia au hukumuelewa Askofu Gwajima kuhusu onyo alilolitoa juu yako?
Mi nahisi uje kuzungumzia kitu kingine tofauti na siasa mkuu.
Dr Slaa hana jinsi maana keshakula za watu, kwa hiyo watamtumia vile watakavyo. Uchaguzi ukishaisha hii liability inatupiliwa mbali.....anakuwa sio relevant tena. Kifupi keshajifuta kwenye siasa za Tanzania, na watanzania wahukuru Mungu kamuumbua mapema asubuhi kwamba hakufaa kuwa rais wa Tanzania mtu anayeendeshwa na mkewe bila kuweka msimamo binafsi.
Nyumbu katika ubora wao
najua mnakereka lakini haina jinsi tena MMECHELEWA.
Viongozi wako kutwa kucha kwenye vyombo vya habari kulalamika. Dalili ya mvua......!
Gwajima yupi? Au yule Askofu wa CHADEMA?
Maana CHADEMA imejaa wachungaji na sasa Askofu ndiye anayeongoza chama
Mafuriko ya Tanga ndo jibu la propaganda za kidini zinazopandikizwa na ccm
topic umeielewa au umecomment tu bora liende?
ndo maana kipaumbele chetu
1 elimu
2 elimu
3 elimu
kitapunguza mijinga mijinga kama hii.
Unapenda kulialia sana wewe. Hebu taja jinsia yako kwanza. Eti MMECHELEWA, hao viongozi wako waliowahi wanafanya nini?