Dr Slaa: Ukombozi wa pili wa taifa hili ni mgumu kuliko wa kwanza!

Hata umseme vibaya,dr ni afadhali kuliko ccm inayoangamiza hata kizazi kijacho kwa kulazimisha katiba ccm.....wamewateka wengi km hujui kamuulize dr ulimboka,baki ya wasio na hatia walouwawa kwa mabomu ya mwiguru na wenzie.
 
Ukawa nawafananisha na musa alipotumwa kuwa komboa wana wa israel toka utumwani.nasisi tunawapokea kwa mikono miwili watukomboe watanzania kutoka kwa hawa ccm wanyang'anyi,wezi,
 
Ukombozi wa tatu utakuwa Lini? au hili bado hajawaambia?

Mnafanya mzaha kwa sababu ni watoto na mawakala wa mafisadi hamuoni umuhimu wa ukombozi huu, lakini sisi watoto wa masikini tunaiona Ccm zaidi ya wale wakoloni weupe.
 
Mnafanya mzaha kwa sababu ni watoto na mawakala wa mafisadi hamuoni umuhimu wa ukombozi huu, lakini sisi watoto wa masikini tunaiona Ccm zaidi ya wale wakoloni weupe.

Mkuu uko siriazi kweli? Dr.Slaa anaweza kukuletea ukombozi kweli? Mkombozi wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Slaa ni msaka tonge tu! Usichukulie maneno yake kwa uzito hivyo.
 
"Ilikuwa rahisi kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni wazungu kuliko kuikomboa kutoka kwa hawa wakoloni wazawa" Alisema. Alifafanua kuwa hawa wezi wanadhani nchi ikikombolewa wataishia magereza kwa vile wao hawana pa kukimbilia huku wakoloni walijua watarudi kwao.

Alisema yeye ni padri na imani yake ya kikatoriki inamwabia mtu hawezi kutubu bila kurudisha aliichoiba, "warudishe mali zetu waone kama tutahangaika nao" aliongeza. "Nawaambieni utawala huu hata ufanyeje hauzidi mwaka mmoja na nusu, hivyo wajiandae kurejesha mali zetu". Alisema wakisikia hivyo wanafanya kila njia kubakia madarakani hata kama ni kuondoa uhai wa watu.

Source: Mi mwenyewe na sasa tunaingia Busanda.

Yeye dhambi ya kuasi kanisa, kuikata pingu ya maisha, kuburua mke wa mtu, uzinzi na kuzaa nje ya ndoa alitubia lini?????
 
Dr Slaa ni kama Nuhu, tusipofanya anachotuambia tutaangamia wote kama wakati wa gharika ilivyoangamiza Sodoma na Gomora.

Huyu huyu babu majanga na kimada wake Mshumbusi?? Dah kaazi kweli kweli...Imani ya Kikatoliki inaruhusu kukwapua mke wa mtu?? Huyu Padri ni majanga
 
Mkuu uko siriazi kweli? Dr.Slaa anaweza kukuletea ukombozi kweli? Mkombozi wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Slaa ni msaka tonge tu! Usichukulie maneno yake kwa uzito hivyo.

Wewe unayeshinda mitandaoni kuikashifu Chadema unasaka nini? na kama si mkombozi unataka nani atukomboe? Kinana?
 
Dr Slaa ni kama Nuhu, tusipofanya anachotuambia tutaangamia wote kama wakati wa gharika ilivyoangamiza Sodoma na Gomora.

Kwani yeye ni nabii mpaka tufuateanachotuambia cha muhimu ni elimu ya utambuzi na kujitambua tu basi na si kuforce mabadiliko kwa mtindo huo hatutafika..
 
Nuhu hakupika wake za watu. Nuhu hakutelekeza familia yake.
Nuhu hakuwa mzinzi. Usiikanyage Biblia wewe. Ufipa street.

Ipogolo ndg,chuki i moyoni mwako.

Je Slaa kuwa mdgambi ...kwako ni faraja ya kuhalalisha wizi,ubadhirifu na dhuluma zinazofanya na wenye dhamana ktk taifa hili?

je ww waweza kwa kweli ya moyo wako kuwa mhukumu wa SLAA akishuhudia kweli kwa ambo tuyaonayo kila uchao ktk taifa ili?
 
Endapo nini hakitafanyika?

CUF," Endapo CCM watapitisha Muundo wa serikali 2 sisi hatutasusia uchaguzi mkuu 2015" na tutashinda kwa kishindo.
MBOWE " CCM wakipitisha muundo wa serikali 2 Chadema hatutashiriki uchaguzi mkuu 2015" .
 
Sawa Nuhu alikomboa watu na dr slaa anatetea wanyonge kwa hivyo swala ni lile lile.

Charity begins at home. utawatetea wanyonge ilihali mkeo na wanao unawatelekeza. watoto waliotoka kwenye mifupa ya KIUNO chako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom