"Ilikuwa rahisi kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni wazungu kuliko kuikomboa kutoka kwa hawa wakoloni wazawa" Alisema. Alifafanua kuwa hawa wezi wanadhani nchi ikikombolewa wataishia magereza kwa vile wao hawana pa kukimbilia huku wakoloni walijua watarudi kwao.
Alisema yeye ni padri na imani yake ya kikatoriki inamwabia mtu hawezi kutubu bila kurudisha aliichoiba, "warudishe mali zetu waone kama tutahangaika nao" aliongeza. "Nawaambieni utawala huu hata ufanyeje hauzidi mwaka mmoja na nusu, hivyo wajiandae kurejesha mali zetu". Alisema wakisikia hivyo wanafanya kila njia kubakia madarakani hata kama ni kuondoa uhai wa watu.
Source: Mi mwenyewe na sasa tunaingia Busanda.