Hapana palikua nahaja kubwa sana ya kuanzisha thread kwa faida ya wote, huwezi jua ni wangapi katusaidia kwa post hii.Hakukua na haja ya kuanzisha thread ya kuomba kadi, unge m-pm tu dakta Slaa. Ni muungwana sana atakujibu tu
Hapana palikua nahaja kubwa sana ya kuanzisha thread kwa faida ya wote, huwezi jua ni wangapi katusaidia kwa post hii.
Na kwani kuanzisha thread ni kumshutumu mtu.
I really hope hauko ngazi yeyote ya ushauri au utekelezaji katika organisation yeyote!
Asante ibange for this very useful post!
Mambo ya tawi kila mtaa yamepitwa na wakati hii sasa ni dunia nyingine si ya TANU, CCM mbali kuwa na Tawi kila uchochoro lakini bado inakimbiwa na wanachama. Kinachotakiwa kwa chama ni kuangalia maeneo muhimu ambayo yanaweza kuwa chachu ya mabadiliko kama vyuoni, mashuleni na kadhalika, kuna wakati mwingine matawi ni kuongeza mzigo na migogoro tu kwa chama, hata unapotaka ku invest lazima kuwe na feasibility study si kuanzisha kila unapoambiwa kuna wateja angalia kama kuna raw materials na zita last kwa kipindi gani.bahati mbaya msg ilikatika. cdm lazima iweke malengo ya kuwa na wanachama hai milioni kumi. kila kijiji na mtaa uwe na tawi hai na linalofanya vikao. kila mkoa uwekewe malengo ya idadi ya wanachama. haya yafanyike kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. pasaka njema
Mambo ya tawi kila mtaa yamepitwa na wakati hii sasa ni dunia nyingine si ya TANU, CCM mbali kuwa na Tawi kila uchochoro lakini bado inakimbiwa na wanachama. Kinachotakiwa kwa chama ni kuangalia maeneo muhimu ambayo yanaweza kuwa chachu ya mabadiliko kama vyuoni, mashuleni na kadhalika, kuna wakati mwingine matawi ni kuongeza mzigo na migogoro tu kwa chama, hata unapotaka ku invest lazima kuwe na feasibility study si kuanzisha kila unapoambiwa kuna wateja angalia kama kuna raw materi
bahati mbaya msg ilikatika. cdm lazima iweke malengo ya kuwa na wanachama hai milioni kumi. kila kijiji na mtaa uwe na tawi hai na linalofanya vikao. kila mkoa uwekewe malengo ya idadi ya wanachama. haya yafanyike kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. pasaka njema
Mambo ya tawi kila mtaa yamepitwa na wakati hii sasa ni dunia nyingine si ya TANU, CCM mbali kuwa na Tawi kila uchochoro lakini bado inakimbiwa na wanachama. Kinachotakiwa kwa chama ni kuangalia maeneo muhimu ambayo yanaweza kuwa chachu ya mabadiliko kama vyuoni, mashuleni na kadhalika, kuna wakati mwingine matawi ni kuongeza mzigo na migogoro tu kwa chama, hata unapotaka ku invest lazima kuwe na feasibility study si kuanzisha kila unapoambiwa kuna wateja angalia kama kuna raw materials na zita last kwa kipindi gani.