porojo zako kayasema wapi hayo? mnajitahidi sana kuzuia lichama lenu lisipasuke sio?mimba imefika mizi tisa lazima mtoto atoke hai au mfu.......
hata kujikopesha na kujiuzia mali za umma ni ufisadi,kukiuka miiko ya imani yako kwa tamaa za kimwili ni ufisadi pia
haa haa kwa hiyo kukopa ni ufisadi?
we unaweza kujikopesha sadaka??
Pale mbwa anapotaka kumfukuza Mwenye Nyumba ,,,,,ni taabu sanaLowasa ameshaweka wazi asiyemtaka ndani ya ccm aondoke yeye hawezi kuondoka ccm anategemea atakuwa mgombea wa uraisi
Ccm lazima mtambue ikulu siyo pango mafisadi wala wodi ya wagonjwa.
VOTE FOR UKAWA.
mbona anashindwa kuwawajibisha mafisadi wa karatu wa chama chake
we unaweza kujikopesha sadaka??
lowasa hawezi toka ccm kamwe. na amesema anayetaka kutoka na atoke.
Ina Maana wewe na mahakama zetu, ww una akili sana, mahakama zilitoa ufafanuzi na uamuzi kuwa Josephine tayari aliachana na mumewe, mzee mzima anayejua kulea kachukua, hakuna kosa, naamini sana mahakama zetu hasa kuu, slaa ni rais mtarajiwa ndo maana kila anapotoa hoja mbadala CCM wanaichukua