Dr. Slaa si wa CHADEMA

  • Thread starter Thread starter PJ
  • Start date Start date

Hebu tutajie huyo mgombea mwingine makini kuliko Dk Slaa.
 


Mkuu..........what do you want then...........tushauri basi tumchague nani......JK, au Dr. Slaa au Dr. Lipumba......and why.......tell us something!
 
Jamaani,
Hivi slaa anao ulinzi wa kutosha jamaani maana hao mavuvuzela wa CCM kupotezana washazoea,watamtafuta kwa ndumba wakishindwa watamtungua kwasababu wameshaogopa na wanajua mimi na wewe na watanzania wote tumechoka CCM!

Dr.Slaa ni msomi.
Dr.Kikwete hata hafananii wala hilo jina na DR. halimpendezi,tumechoka jamaani!
Maendeleo na mabadiliko ya kweli huletwa na watu wenye machungu na wazalendo wa kweli.
 
Mkuu..........what do you want then...........tushauri basi tumchague nani......JK, au Dr. Slaa au Dr. Lipumba......and why.......tell us something!
I want people to speak truth, Na sikutuongopea kama watoto wadogo. That is only what I want and not otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…