Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
richmond zilikua tuhuma fake,tulipiga kelele sana watu hawakuelewa.sasa wanaona shida kusema zile zilikuwa siasa tu,wanabaki kutafuta jinsi ya kumbebesha mzigo fake wa richmond jk...
ukweli huwa unaonekana tu,mwisho wa siku ndo watu kuumbuka....
ukweli huwa unaonekana tu,mwisho wa siku ndo watu kuumbuka....