meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Hivi ninyi CCM mnadhani hizi propaganda zenu zitawanusuru tena? Kwisha habari yenu!
Hivi ninyi CCM mnadhani hizi propaganda zenu zitawanusuru tena? Kwisha habari yenu!
,Hoja yako imekwishajibiwa na Tundu Lissu!
Hili ni suala muhimu kwa sasa.
Njoo ukanushe suala hili labda watanzania watakuelewa.
Njoo na facts mkuu!
Usije na porojo kama Mbowe!
Siyo kukanushia JF,waende kule kule walikomnangia wakakiri kwamba wao ni waropokaji tu wala hawakuwa na evidence.
Siuji mtu aliyeinijia UHAMISHO wa Lowasa alifikiria nini hasa na nini target yake
Haitasaidia. Lowasa na Team yake nzima wameshaingia Chadema!!Acha kiherehere @Dr Slaa yumo humu
Lowassa alikwishasema: Ricmond = Jakaya Kikwete!Siyo kukanushia JF,waende kule kule walikomnangia wakakiri kwamba wao ni waropokaji tu wala hawakuwa na evidence.
Ndio hivyo mkuu...ina maana tuhuma zote dhidi ya wanaccm zinafutika rasmi.
Lowassa alikwishasema: Ricmond = Jakaya Kikwete!
Haitasaidia. Lowasa na Team yake nzima wameshaingia Chadema!!
Haitasaidia. Lowasa na Team yake nzima wameshaingia Chadema!!
mkuu mbowe bilion 10 anashupaza shingo kama vile kala mawe sna kuwafanya watanzan ia ni wajinga kiasi hiki.
pilinkuna mtu mwingine aliya waapisha watu wa arusha kwenye mkutano wa kampain kuelekea uchaguzi wa ubunge Arumeru nae tunamsubili,