Dr Slaa njoo ukanushe tuhuma dhidi ya lowassa!

Dr Slaa njoo ukanushe tuhuma dhidi ya lowassa!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Hili ni suala muhimu kwa sasa.
Njoo ukanushe suala hili labda watanzania watakuelewa.

Njoo na facts mkuu!

Usije na porojo kama Mbowe!
 
Hivi ninyi CCM mnadhani hizi propaganda zenu zitawanusuru tena? Kwisha habari yenu!
 
Hivi ninyi CCM mnadhani hizi propaganda zenu zitawanusuru tena? Kwisha habari yenu!

propaganda zipi unauliza? kauri za mwembeyanga na arumeru ni propaganda wewe unamatatizo ya kichwa
 
Siyo kukanushia JF,waende kule kule walikomnangia wakakiri kwamba wao ni waropokaji tu wala hawakuwa na evidence.
 
Hili ni suala muhimu kwa sasa.
Njoo ukanushe suala hili labda watanzania watakuelewa.

Njoo na facts mkuu!

Usije na porojo kama Mbowe!

mkuu mbowe bilion 10 anashupaza shingo kama vile kala mawe sna kuwafanya watanzan ia ni wajinga kiasi hiki.
pilinkuna mtu mwingine aliya waapisha watu wa arusha kwenye mkutano wa kampain kuelekea uchaguzi wa ubunge Arumeru nae tunamsubili,

Siuji mtu aliyeinijia UHAMISHO wa Lowasa alifikiria nini hasa na nini target yake
 
mkuu wala usishangae nae atakuja na kushupaza shingo kama mbowe leo unacheza na wanafiki wa siasa wanaotufanya wajinga,
 
Siyo kukanushia JF,waende kule kule walikomnangia wakakiri kwamba wao ni waropokaji tu wala hawakuwa na evidence.

Ndio hivyo mkuu...ina maana tuhuma zote dhidi ya wanaccm zinafutika rasmi.
 
mkuu mbowe bilion 10 anashupaza shingo kama vile kala mawe sna kuwafanya watanzan ia ni wajinga kiasi hiki.
pilinkuna mtu mwingine aliya waapisha watu wa arusha kwenye mkutano wa kampain kuelekea uchaguzi wa ubunge Arumeru nae tunamsubili,

kanone;
Hivi maccm mmekunwa vibaya au?? Billion 10 mlizihesabu nyiye au ndo mliupewa huo mzigo kumpelekea Mbowe?? Mlitegemea nini mlipo mkataa?? Si mlifikiri hataweza kuondoka ccm?? Kaondoka sasa wala harudi nyuma. Kama alikuwa na ubaya na CDM asingeingia humo, angemfuata hata Shibuda kule TADEA, angeli mfuata zzk na ACT yake ya kizalendo.
Kaja CDM mnaona ati kanunua chama, mbona hamkumsema akiwa ccm?? Pole zenu, mmekwisha
 
Ukweli ni kwamba CHADEMA wamechemsha na kipindi hiki watakimbia midahalo. Huyu Mbowe ndiye aliyetwambia kuwa Lowassa ni bubu leo bubu anapewa nafasi kugombea urais. Ama kweli Zitto ndie real politician kwasasa.
 
Back
Top Bottom