Dr Slaa ninamashaka na upeo wako,,!!

Kwanza ma-ccm neno upeo mlikuja kujua kwa dr.slaa,afu mleta mada hata hajalisoma tamko la dr.slaa ndo mana sintamjibu huyu mpuuzi wa lumumba kichwa kama mkama
 

eti kumbe wewe ndo jangili unaemsaidia alshabab kinana kuua tembo wetu e.lazma mtalipa ifikapo 2015.
 
Mzee slaa anazeeka vibaya, alichonichekesha zaidi ni pale alipokemea wakuu wa mikoa kumiliki magari ya 2oomilioni ili hali yeye mwenyewe alifika kiwanjani alipokuwa anapiga porojo hizo na gari ya gharama hiyohiyo. Kama siyo kuzeeka vibaya nini? Tumsamehe
 
Masalia bwana mumefanya hazina na ruzuku ya CCM iishe kwa sababu book saba kwa watu zaidi ya 200 kwenye mitandao,kimefirisi kisima cha CCM,Kinana ni jangiri wa wanyama wetu na ni jangiri wa siasa za nchi hii anaendesha umafia wa kisiasa utafikiri tuko Somalia alikotoka akiwa na miaka saba ,vile vinasaba vya fujo kakua navyo na hata sasa anamiaka kibao bado hajabadirika,huwezi kuwa juu ya sharia za nchi kwa kutumia majaji wasio na heshima na kazi zao kuwanyamazisha watu na kujidai kwamba hakuna atakayekuweza, na haya yote ni michoro ya Kikwete, ujinga wao wakufinyanga na kuharibu kila chombo cha dola kumefanya nchi iwe vitani,Polisi,DPP,Mahakama wote wanafanya kazi za mwenyekiti na secretariat yake, ni waovu wanaharibu nchi wanatengeneza chuki kubwa miongoni mwa wananchi, wabaya hao
 
Gari alikopeshwa akiwa bungeni na amelipa,wakuu wamikoa magari ni fedha ya serikali,uzee wa Slaa huwezi kuulinganisha na wa Kikwete ambaye nyumbani kwake siku hizi ni nchi za watu,huyo ndio utakayesema kazeeka vibaya anakimbia wananchi,hawezi kukaa nao,nchi inayumba sijui kile kifafa cha kuanguka anguka kimemla ubongo
 
Babu anatumika kutuhujumu.
Tena kuna tetese kwamba 'magamba'wanapanga kumtumia ili kukipoteza CHADEMA kabla ya mwaka 2015.

Wanachadema tusipokua makini huyu mzee atatuhalibia safari yetu ya ukombozi.

Babu must go bhana!

Bongo lala mkubwa!!
 
Kuwa na upungufu wa kinga za mwili ni hatari na ina athiri hata uwezo wa kufikiri msamaha hapa lazima uhusishwe
 
Babu anatapa tapa,,huwezi kuhubiri usichokifanya,,!!akapumzike karatu awaachie watu makini waendeshe chama,,!!
 
Maccm mburula sana kisheria rufaa inatakiwa isajiriwe ndani ya mwaka mmoja ikizidi huo muda kwishney ccm inakufa slowly
 
Hivi Tanzania hakuna siasa bila Dr Slaa?
Hivi mnadhani kumuandika sana ndio kuichafua CDM? Imefika mahali tukiona thread kichwa cha habari ni Dr Slaa wengine hatakuisoma hawataki maana ni hoja za kitoto tu!

Naunga mkono hoja

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…