Dr Slaa ndani Kinampanda

wa2 wamejaa tuu kwenye thread lkm mm nipo huku hakuna ki2, ni maneno2
 
Mkuu hapo Tumaini sekondari unanikumbusha miaka ya 90's nilikuwa hapo, mambo ya Chepo na n.k
 
Slaa ashughulikie masuala ya ndoa yake kwanza.,
 

Mkuu hivi yale maandishi ya zege yameandikwa TANU pale ofisi ya CCM bado yapo?,,,,na chepo je?Umenikumbusha sana headmaster wangu DINGI mungu amrehemu.
 
Jonh Mnyika apiga nondo Ndago na Kinampanda wakiwa pamoja na mbunge mtarajiwa Kitila Mkumbo kikubwa ni kwamba hii ni rasharasha mvua itanyesha katikati ya mwezi ujao watakaporudi awamu ya pili
 
Jonh Mnyika apiga nondo Ndago na Kinampanda wakiwa pamoja na mbunge mtarajiwa Kitila Mkumbo kikubwa ni kwamba hii ni rasharasha mvua itanyesha katikati ya mwezi ujao watakaporudi awamu ya pili

mkuu Luushu,
vipi mwitikio wa wananchi hapo!!
 
Last edited by a moderator:
Leo saa saba kamili timu chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani tuko ndani ya kinampanda

Mkuu rekebisha title angalau isomeke "ndani YA kinampanda" hivyo ilivyokaa inakuwa kama inasema amewekwa ndani! me opinion!
 
Asante kwa kunirekebisha nilikuwa namaanisha kuwa Dr Slaa atafanya mkutano wa hadhara kinampanda hata hivyo Slaa hakuja walikuja Mnyika,Dr Kitila Mkumbo nawenzake mkutano ulianza saa kumi na moja na nusu watarudi tena katikati ya mwezi ujao kwa oparation ya kata kwa kata wilaya nzima ya Iramba
 
 
 
Ezra yupo Iramba mshariki ni WEO Kitandu Ugula yuko Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…