katerero ya uzeeni noma sana toka kwa bbw mashumbushi
LOWASSA ndiye Rais wetu, KIFO au LOWASSA!
dah..! Yaani watu wanaongelea mambo ya maana wewe unawaza ya chumbani. Tena unawazia starehe za wengine? You're malade.
Hivi nyie akili zenu zikoje? Unamuitaje Dogo mtu ambaye humjui?Dogo, uliza yule mchungaji aliyedai lowasa asipokuws rais basi yeye (mchungaji) auwawe, uliza yuko wapi? Acha kabisa, Usimbip Israel.
Kaamua jifanya kikaragosi kuwahadaa watu ETI UONGO UNA UPANDE ,HUKU AKIJUA UKWELI HAUNA UPANDE WA KUEGEMEA ILA WANAOUTAZAMA NDIO HUCHAGUA UPANDE NA NAMNA YA KUUANGALIA HUO UKWELI.Hakika kitendo cha Dr Slaa na Polepole kuwashambulia viongozi wa ukawa tu na kuaacha viongozi wa ccm,act,tadea,chauma nk sio cha haki na wananchi wameshawachoka na kuwaongezea promo chama hicho. Dr slaa ambaye hivi majuzi aliamua kuachana na siasa nashangaa bado yupo na ajawacha kama alivyosema. Rai yangu nikuwaomba wawe balance na unbias wanavyozungumzia wagombea wetu wa urais.
Wacha watoe elimu, lowasa anatudanya kuws kondoo wa karafa yuko mlimani, yeye kabeba kisu halafu kuni anatubebesha siye. Tukimuuliza, lowasa kura zetu zipo, na ikulu IPO, sasa ukifika huko ikulu utaleta Mabadiliko gani? Yeye anajibu 'Mabadiliko kwanza, mengine najua mwenyewe'. Tukimwambia basi tudokezee kidogo, anajibu ' nitamtoa babu seya! Aaarh!