Dr. Slaa na mbinu ya Hitler

Dr. Slaa na mbinu ya Hitler

Hilter alikuwa kiongozi wa chama cha Nazi cha ujerumani, kuna wakati fulani alikamatwa na kufungwa jela kwa kujaribu kuipindua serikali halali ya ujerumani iliyokuwepo wakati huo.

Wakati hilter akiwa jela alitunga kitabu ambao alielezea namna ya kuwakwamua kiuchumi wajerumani kitabu hicho kilichangia sana kumpa umaarafu Aldof Hitler, baada ya kutoka jela Hitler aliendelea na shughuli zake za kisiasa kama kawaida ya wanasiasa wengine.

Ulipofikia wakati wa uchaguzi mkuu wa ujerumani Hitler aliwatumia viongozi wa dini ili kujijengea uwezo na kukubalika ili aweze kupigiwa kura ya ndio itakayomuezesha kwenda ikulu ya wajerumani.

Kwa kipindi hicho ujerumani ilikuwa na madhehebu makubwa mawili ya kikristo, ambao ni wakatolic na walutheran, Hitler alikwenda kwa Walutheran na kuwaahidi kama watamuunga mkono alifanya dhehebu hilo kuwa kubwa na lenye nguvu duniani kote kwa kuwa alikuwa na mpango wa kuifanya Ujerumani kuwa Superpower.

Hivyo hivyo aliwafata waroman catholic na kuwaahidi hivyo hivyo ikumbukwe kuwa madhehebu hayo yalikuwa na ushindani mkubwa katika nchi hizo, Hitler aliaminika sana na viongozi wa dini hiyo kwa kuwa amelelewa katika nyumba iliyokuwa imefuata mafunzo na imani ya dini ya kikisto na ikumbukwe kuwa mama Krala ambaye ni mama mzazi wa Aldof Hitler alikuwa muimbaji maarufu ya muziki wa injili nchini ujerumani kote.

Hitler pia aliwashawishi wayahudi kwa ahadi ya kuwapa ardhi ya kuishi ikiwa watamuunga mkono katika harakati zake za kisiasa, wayahudi wakamuunga mkono na Hitler alivyofanikiwa wayahudi wakaanza kumkumbushia ahadi yake kwao, akawageuka na kuanza kampeni za kuwaangamiza na aliwauwa wayahudi milioni 6.

Tukurudi hapa nyumbani inasemakana katibu mkuu wa chama cha maendeleo na demokrasia, Chadema amekuwa akiwatumia viongozi wa dini mbalimbali hususani wakristo wamsaidie katika harakati yake ya kwenda ikulu pale magogoni.

Hali hiyo ilisababisha mtafaruku mkubwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambao maaskofu walitoa waraka wa rais wanayemtaka, kwa sisi wakristo tuliambiwa na viongozi wetu wa dini kuwa twende tukampigie kura ya ndio muumini mwenzetu ingawa hakutajwa jina lakini kwa wenye akili timamu tulijua huyo muumini mwenzetu ni nani.

Hivi karibuni Jukwaa la wakristo na baraza la maaskofu walitoa waraka wa kuwataka waumini wao wakapige kura ya hapana katiba pendekekezwa ambapo baada kardinali Pengo alipinga jambo hilo na kuwataka waumini waache wafanye maamuzi yao wenyewe kuwamulia waumini ni sawa na kuwadharau waumini na kuwafanya watoto wadogo.

Siku chache baadae baadhi ya magazeti ya kila siku na mengine ya kila wiki yarilipoti kuwa katika kauli ya maaskofu kulikuwa na mkono wa dr. Slaa nyuma ya pazia, inasemekana ana urafiki wa karibu na padre Vic Missie amabye amekuwa akitumiwa na Dr. Slaa kufikia malengo yake ya kisiasa kwa viongozi wa dini.

Parde huyo raia wa ubergij ambaye inasemekana ndiye aliyeandaa tamko hilo ambalo lilipitishwa na Baraza la Maaskofu Tanzania {TEC), Jukwaa la wakristo Tanzania pamoja na Baraza la makanisa ya Kipentekoste {CPCT}

Cha kushangaza mpaka sasa si Dr. Slaa wala maaskofu waliokana taarifa ya magazeti hayo, swali langu kwa Dr. Slaa je anataka kutumia mbinu ya Hitler kwenda ikulu? Kama ni kweli Dr Slaa Jua kwamba watanzania hatupendi siasa za kutuletea ghasia kama za Hilter na kuondoa utulivu wa amani tulionao hapa nchini, pia wanasihi watanzania wenzangu tusiwaunge mkono wataka urais amabo wanatumia njia chafu zitakazogharimu taifa letu.

Huna hoja sema tukusaidie nini .:what::banghead:
 
Pengo alituambia kikwete ni chaguo la mungu, hii ilikuwa baada ya kuahidiwa mambo mengi ikiwemo mkombozi bank plc,

Kiwewe cha Pengo kwenye ahadi hizo kimempelekea kuwa na maoni yanayotofautiana na baraza la maaskofu, hii yote kutokana na ahadi alizoahidiwa Pengo zinaonekana kushtukiwa!!!!!!!!!

AMEWEWESEKAJE??
 
Endelea kutunga mwishowe utatoa kitabu, uwauzie wajinga wenzio.
 
Unasemaje kuhusu mbinu aliyotumia rais Kikwete kuahidi waislamu kuanzisha mahakama ya Kadhi ili aingie madarakani 2010?
 
Hivi kumbe watu Wa buku 7 bado mpo! Haya jumatano kachukue buku zako
 
Hata sisi 2010 tuliambiwa tumuunge mkono muislamu mwenzetu atatupatia mahakama ya kadhi.
 
Huyu babu anatamaa sana anaweza hata kumuuza mchumba wake ili apate urais
 
Ukiunganisha dots unaona kuw kunaweza kuwa na chembe ya ukweli kwenye huu uzi. Dr.Slaa wakati akiwa Padre aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa TEC (Baraza la Maaskofu Tanzania). Kwa maana hiyo lazima bado ana ushawishi ndani ya Baraza la Maaskofu Tanzania.

Pili, ni suala la Kadinali Pengo kutoa msimamo unaotofautiana na TEC!!!!!!!!!!!!!! Je, ni kwa bahati mbaya au Kadinali amegundua wenzake wanatopoka?

Binafsi naunga mkono mawazo ya Pengo, nitatumia utashi wangu mwenyewe wakati wa kupiga kura. Baadhi ya maaskofu wana masilahi yao yaliyojificha nyuma ya tamko lao. Jaribu kufikiri mkanganyiko ambao waumini wakatoliki wameupata kwa tamko la TEC na Kadinali Pengo, wamsikilize Kadinali au waisikilize TEC?

mbona humsemi pinda alivyo na ushawishi kwa pengo na hadi kumpa maelekezo ya kumsaidia kupunguza makali ya lile tamko la maaskofu,na wote wako kambi ya ufipa kwenye kinyanganyiro hiki cha urais ndani ya ccm?
 
Huyu babu anatamaa sana anaweza hata kumuuza mchumba wake ili apate urais

kati ya Dk slaa na lowasa nani mwenye tamaa ya urais na kati ya Dk slaa na zzk nani mnafiki na msaliti anayeweza kuhatarisha usalama wa nchi hiii?
 
Miaka zaidi ya 70 hana mke ana mchumba! Hatumpi urais asiyekuwa na mke atainajisi ikulu yetu.
 
Pengo alituambia kikwete ni chaguo la mungu, hii ilikuwa baada ya kuahidiwa mambo mengi ikiwemo mkombozi bank plc,

Kiwewe cha Pengo kwenye ahadi hizo kimempelekea kuwa na maoni yanayotofautiana na baraza la maaskofu, hii yote kutokana na ahadi alizoahidiwa Pengo zinaonekana kushtukiwa!!!!!!!!!

AMEWEWESEKAJE??
Kamanda umemchanganya Pengo na Kilaini.
 
Back
Top Bottom