kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,877
amani iwe nanyi,
kwa wasio faham kisa cha mwana mpotevu kwa muda wenu mkasome luka 15:11-32
lengo la threed si kuzungumzia kisa cha mwana mpotevu
lengo ni kumzungumzia kaka wa mwana mpotevu ambae kwa maisha ya sasa nna kila sabab ya kumfananisha na dr slaa
siku mwana mpotevu alipo rudi nyumbani na kufanyiwa sherehe kaka mtu alikasirika na kukataa kuhudhuria sherehe
baba yao alipo muuliza akasema kuwa yeye alikuwepo nyumbani kwa miaka mingi lakini hajawah kufanyiwa sherehe.
tuje kwa slaa nmesikiliza hotuba ya slaa ya pale serena amelia lia sana amesema chadema ambayo ameijenga kwa DAMU leo wanasahau yote na kuchukua watu wasio na maadili na mambo mengine aliyo washutumu hasa Lowasa
slaa kma aliyo kaka wa mwana mpotevu roho ya ubinafsi, umimi imempofusha na kusahau kua siku zote alikua chadema na ufalme wa chadema ulikua wake
kma kaka wa mwana mpotevu alivyo susia kuingia kwenye karamu slaa ameona ni heri atumie mgongo wa kujitoa kwenye siasa za vyama kuliko kukaa karamu moja na lowasa
mwisho yoyote asiye kua nasi basi yuko kinyume nasi
slaa ni mbinafsi na mtu wa kujikweza
wanamabadiliko wote tumchukulie slaa kma ni adui wa mabadiliko