Dr. Slaa mpiganaji aliyesalitiwa

Dr. Slaa mpiganaji aliyesalitiwa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
Mh. Dr. Slaa:

POLENI KWA YOTE YALIYOWAKUTA MLIKUWA WANAHARAKATI WA KWELI MLIOTAKA MABADILIKO YA KWELI, LAKINI KAMBI IMESALITI IMETAKA SIASA, HONGERENI KWA KUUKATAA ULOFA NA POLENI KWA KUWAPIGANIA MALOFA AKA MASIKINI WA AKILI,MUNGU AWABALIKI SANA

11947671_862619250512468_7264351576408020673_n.jpg

10411043_682293048539218_4068726535064619018_n.jpg
 
Mh. Dr. Slaa:

POLENI KWA YOTE YALIYOWAKUTA MLIKUWA WANAHARAKATI WA KWELI MLIOTAKA MABADILIKO YA KWELI, LAKINI KAMBI IMESALITI IMETAKA SIASA, HONGERENI KWA KUUKATAA ULOFA NA POLENI KWA KUWAPIGANIA MALOFA AKA MASIKINI WA AKILI,MUNGU AWABALIKI SANA

11947671_862619250512468_7264351576408020673_n.jpg
Kampe Dr cheo nyumbani kwako.Ubinafsi kitu kibaya sana.Yeye alivyotemwa ubunge na ccm karatu mbona alikuja chadema akapewa?mbona Mbowe alimuachia agombee urais?mgeni akija nyumbani hupaswi kukimbia nyumba.Kweli TISS kupitia mama wamemmaliza Dr
 
Hivi kujitenga na maamuzi ya wengi kwa ubnafsi wako, ni Kusalitiwa?!
 
hatufati mtu chadema....tunafata chama .......atoke yeyote tutabaki chadema na wala chama hakitatetereka..............leo hii ccm eti mnamuona slaa mkombozi wenu kipigo kiko pale pale
 
Nasikia kuna pesa alizokula mwenye chair....na wala hajakanusha mpaka sasa
 
Kampe Dr cheo nyumbani kwako.Ubinafsi kitu kibaya sana.Yeye alivyotemwa ubunge na ccm karatu mbona alikuja chadema akapewa?mbona Mbowe alimuachia agombee urais?mgeni akija nyumbani hupaswi kukimbia nyumba.Kweli TISS kupitia mama wamemmaliza Dr

Dr Slaa mlafi wa madaraka mpaka alikimbilia chadema toka ccm, Kamanda lowassa katoka mbinguni? Na ilikuwaje mpaka amefika hapo? Alichaguliwa ccm akakataa ndio akaja chadema? Baada ya kushindwa uchaguzi lowassa hatabaki chadema, Dr Slaa hata angeshindwa bado angebaki kujenga misingi na kuandaa vijana wa baadae, tusubiri muda utatoa majibu
 
Mimi nitamzungumzia huyu mzee baada ya tamko lake.
 
Mh. Dr. Slaa:

POLENI KWA YOTE YALIYOWAKUTA MLIKUWA WANAHARAKATI WA KWELI MLIOTAKA MABADILIKO YA KWELI, LAKINI KAMBI IMESALITI IMETAKA SIASA, HONGERENI KWA KUUKATAA ULOFA NA POLENI KWA KUWAPIGANIA MALOFA AKA MASIKINI WA AKILI,MUNGU AWABALIKI SANA

11947671_862619250512468_7264351576408020673_n.jpg

Mimi Ni Mwana CCM Mwenzako Ila Nina Shaka Na Credibility Yako Na Kuna Wakati Mwingine Unadhani Labda Habari Zako Zinaisaidia CCM Lakini Kwa Namna Nyingine Ndiyo Kwanza Zinatuharibia Wana CCM. Kwa Mfano Kuna Uzi Mmoja Umekuja Nao Tena Ukiwa Na Picha Kuwa Lowassa Jana Kakimbiwa Na Watu Wakati Kila Mwana CCM Jana Ameona Mwenyewe Jinsi Kampeni Ya Lowassa Ilivyoshona Watu. Wana CCM Wenzio Tunaanza Kukudharau Na Ndiyo Unaifanya Kazi Ya Kitengo Chetu Cha Propaganda Na Uzandiki Kuwa Ngumu Kwa Aina Ya UPOPOMA Wako Unaoufanya. Labda Nikiri Kwako Kuwa Hata Kama CCM Tutashinda Ila Hakika Mwaka Huu TUMEKIONA Na TUTAKIONA Cha Moto Kwani Lowassa Anafanya Watu Sasa TUSAHAU Mashuka, Vitanda, Wake Zetu Na PAPUCHI Zao. Ushindi Wetu Mwaka Huu Wana CCM Utakuwa Ni Wa Tia Maji Tia Maji Nikimaanisha Kuwa Sterling Ataibuka Mshindi Ila Mijeraha Kibao Huku Akiwa Hoi. Na Kibaya Zaidi Ni Kwamba Kila Mitego Yetu Anaipangua.
 
Samahani mkuu, Ni wewe?, Nimekufahamu humu jukwaani kwa ujasiri wako wa kutoona tunayoona, sasa sijui kale kaujasiri ketu kamishia wapi?, Kama unag'ata maneno hivi!, malizia ya rohoni yote. Ikibidi toroka uje.
 
Hakuna KITU HATARI Kama kujiingiza kwenye DEAL NA MCHAGGA Kichwakichwa.Hawa kwa sasa ni spent force.Tunataka Lowassa ashike dola ili zabuni zote za umma apewe NDESSAPESSA,MBOWE na MTEI na MATAJIRI WA LOWASSA....
 
ihi sheria itaanza na wewe ufungwetu, tumechoka na uchochezi wenu,
Mh. Dr. Slaa:

POLENI KWA YOTE YALIYOWAKUTA MLIKUWA WANAHARAKATI WA KWELI MLIOTAKA MABADILIKO YA KWELI, LAKINI KAMBI IMESALITI IMETAKA SIASA, HONGERENI KWA KUUKATAA ULOFA NA POLENI KWA KUWAPIGANIA MALOFA AKA MASIKINI WA AKILI,MUNGU AWABALIKI SANA

11947671_862619250512468_7264351576408020673_n.jpg
 
leo hii ccm ndio mnamtetea dr slaa??
Walimuita Babu, amezeeka, Padri, anaishi na mke wa mtu....hana mke, anaishi na hawara.

Sasa hivi wanataka kumtumia kupata Kick........

Afadhali tusome ......
https://www.jamiiforums.com/love-connect/921245-natafuta-mke-wakuoa-baada-ya-kujuana-vizuri-mwaka-2017-a.html
 
Hakuna KITU HATARI Kama kujiingiza kwenye DEAL NA MCHAGGA Kichwakichwa.Hawa kwa sasa ni spent force.Tunataka Lowassa ashike dola ili zabuni zote za umma apewe NDESSAPESSA,MBOWE na MTEI na MATAJIRI WA LOWASSA....

acha ubaguzi wewe kunguru.
 
Umesahau chadema wanamtetea Lowasa

Dr slaa amejitenga mwenyewe wala ajafukuzwa sisi wana chadema tunataka kusikia kauli yake tu kama kubaki CDM au laa!!!
akitaka kwenda ccm na aende tu chama kipo juu sio yeye awe juu ya chama..leo tunasubiri atakacho amua yeye binafs wala atujamshika mikono wala miguu.
 
Samahani mkuu, Ni wewe?, Nimekufahamu humu jukwaani kwa ujasiri wako wa kutoona tunayoona, sasa sijui kale kaujasiri ketu kamishia wapi?, Kama unag'ata maneno hivi!, malizia ya rohoni yote. Ikibidi toroka uje.

Ukiachana Na Mke Wa Zamani Haimaanishi Umchukie Milele Kwani Bado Tu Ataendelea Kuwa Mkeo Kinadharia.
 
Back
Top Bottom