Dr slaa live viwanja vya shycom shinyanga

Dr slaa live viwanja vya shycom shinyanga

picha please, kwanini anasema maswala ya damu? au ni kwa sababu ya wale wabunge, leta complete story
 
dr namkubali sana jamani tuwekeeni picha na sisis tufaidi uhondo
 
Mungu umlinde popote atapokuwa huyu Rais wangu.
 
CHADEMA tutaendelea na ukombozi wa taifa hili hata kama magamba watatumia kila aina ya giriba ndani ya nchi,
 
sipendi watu wanao weka thread kipuuzi. wewe si ungeacha kuanzisha thread kama unaona huwezi kuupdate? unakuwa kama wale wamajf wa rukwa bwana.
 
Back
Top Bottom