M Molemo JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 14,620 Reaction score 13,361 Jul 27, 2014 Thread starter #121 Mazoko said: Dr Slaa ameingia ndani yaukumbi madr wamejipanga vema nitawapa kinachoendelea Click to expand... Tunakufuatilia Kamanda!
Mazoko said: Dr Slaa ameingia ndani yaukumbi madr wamejipanga vema nitawapa kinachoendelea Click to expand... Tunakufuatilia Kamanda!
Mazoko JF-Expert Member Joined Jul 10, 2009 Posts 674 Reaction score 187 Jul 27, 2014 #122 Anazungumzia bunge LA katiba kifupi msimamo niule ule kutokurudi bungeni kama hawatakubali kujadili maoni ya wananchi Maoni ya wananchi kwanza maslai yawatu binafsi baadaye
Anazungumzia bunge LA katiba kifupi msimamo niule ule kutokurudi bungeni kama hawatakubali kujadili maoni ya wananchi Maoni ya wananchi kwanza maslai yawatu binafsi baadaye
Pumzi Ya Uhai aka PYU JF-Expert Member Joined Oct 3, 2012 Posts 201 Reaction score 42 Jul 27, 2014 #123 Weston Songoro said: Hivi Dr Slaa hadhi yake ni kuzindua matawi ya chadema? Hii ni aibu kubwa na ni fedheha kwake Click to expand... Hata mimi nilishangazwa sana na waziri mkuu kuja arusha manyire kuzindua transformer ya umeme.
Weston Songoro said: Hivi Dr Slaa hadhi yake ni kuzindua matawi ya chadema? Hii ni aibu kubwa na ni fedheha kwake Click to expand... Hata mimi nilishangazwa sana na waziri mkuu kuja arusha manyire kuzindua transformer ya umeme.
Nyankore Senior Member Joined Jun 24, 2014 Posts 131 Reaction score 68 Jul 27, 2014 #124 MSALANI said: Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi? Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani. Click to expand... Mzee wako Kada la msituni linajinyea huko kwenye mjadala....
MSALANI said: Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi? Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani. Click to expand... Mzee wako Kada la msituni linajinyea huko kwenye mjadala....