nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
hiyo serikali ni ya chama gani? ,.Ndugu Mwigulu Nchemba ameionya serikali
kuacha kuendekeza anasa, semina na sherehe
wakati wananchi wanaishi maisha ya dhiki.
"Haiwezekani serikali inafanya sherehe kubwa
wakati wanafunzi wanakaa chini na wananchi
hawana huduma ya maji, barabara na umeme.
Hatujawahi kusikia fedha za semina na sherehe
zimekosekana lakini kila siku tunaambiwa fedha
za kuchimbia visima vya maji na kununulia
dawa za hospitali hakuna! Kuna wengine
wanadiriki hadi kufanyia semina nje ya nchi",
alisema Nchemba.
Bwana Nchemba alimuagiza mlipaji mkuu wa
serikali asiwe anaidhinisha fedha za umma kwa
ajili ya sherehe na anasa ambazo hazina tija
katika maendeleo ya wananchi. Alisema
atakayekiuka agizo hilo ajiandae kufutwa kazi.
MAONI YANGU
Nampongeza Bw Nchemba kwa kuwatetea
wanyonge na kukataza matumizi ya ovyo ya
fedha za umma. Serikali imekuwa ikipoteza
fedha nyingi kwenye sherehe nyingi za kipuuzi
huku wananchi wakiishi maisha ya dhiki. Sasa
tutaanza kuona MAISHABORA KWA KILA
MTANZANIA.
Chanzo:RFA
vipi, wewe umeshapona ule ugönjwa wako wa kuomba omba bahasha?babu slaa ameshapona mkono na kisukari!!!!!
Ndugu Mwigulu Nchemba ameionya serikali
kuacha kuendekeza anasa, semina na sherehe
wakati wananchi wanaishi maisha ya dhiki.
"Haiwezekani serikali inafanya sherehe kubwa
wakati wanafunzi wanakaa chini na wananchi
hawana huduma ya maji, barabara na umeme.
Hatujawahi kusikia fedha za semina na sherehe
zimekosekana lakini kila siku tunaambiwa fedha
za kuchimbia visima vya maji na kununulia
dawa za hospitali hakuna! Kuna wengine
wanadiriki hadi kufanyia semina nje ya nchi",
alisema Nchemba.
Bwana Nchemba alimuagiza mlipaji mkuu wa
serikali asiwe anaidhinisha fedha za umma kwa
ajili ya sherehe na anasa ambazo hazina tija
katika maendeleo ya wananchi. Alisema
atakayekiuka agizo hilo ajiandae kufutwa kazi.
MAONI YANGU
Nampongeza Bw Nchemba kwa kuwatetea
wanyonge na kukataza matumizi ya ovyo ya
fedha za umma. Serikali imekuwa ikipoteza
fedha nyingi kwenye sherehe nyingi za kipuuzi
huku wananchi wakiishi maisha ya dhiki. Sasa
tutaanza kuona MAISHABORA KWA KILA
MTANZANIA.
Chanzo:RFA
babu slaa ameshapona mkono na kisukari!!!!!
Check out this video on YouTube:
Mhe. Wasira akiwa katika Kipindi cha Kumekucha Julai 26, 2014 (Pt. 1)
Mhe. Wasira akiwa katika Kipindi cha Kumekucha Julai 26, 2014 (Pt. 1) - YouTube
babu slaa ameshapona mkono na kisukari!!!!!
Hawajitambui hawa misukule wa lumumba,wakiskia tu Dr Slaa mapepo yanawapanda.Watahara sana kwenye hii sred ili tu buku 7 iingieKuna mtu ana mweka Wassira kwenye kundi la washindani ni huwa nitamshangaa sana
Ndugu Mwigulu Nchemba ameionya serikali
kuacha kuendekeza anasa, semina na sherehe
wakati wananchi wanaishi maisha ya dhiki.
"Haiwezekani serikali inafanya sherehe kubwa
wakati wanafunzi wanakaa chini na wananchi
hawana huduma ya maji, barabara na umeme.
Hatujawahi kusikia fedha za semina na sherehe
zimekosekana lakini kila siku tunaambiwa fedha
za kuchimbia visima vya maji na kununulia
dawa za hospitali hakuna! Kuna wengine
wanadiriki hadi kufanyia semina nje ya nchi",
alisema Nchemba.
Bwana Nchemba alimuagiza mlipaji mkuu wa
serikali asiwe anaidhinisha fedha za umma kwa
ajili ya sherehe na anasa ambazo hazina tija
katika maendeleo ya wananchi. Alisema
atakayekiuka agizo hilo ajiandae kufutwa kazi.
MAONI YANGU
Nampongeza Bw Nchemba kwa kuwatetea
wanyonge na kukataza matumizi ya ovyo ya
fedha za umma. Serikali imekuwa ikipoteza
fedha nyingi kwenye sherehe nyingi za kipuuzi
huku wananchi wakiishi maisha ya dhiki. Sasa
tutaanza kuona MAISHABORA KWA KILA
MTANZANIA.
Chanzo:RFA
Siasa za mitandaoni na za kitoto? Is it really necessary to publicise someone's illness. Don't you know that illness is confidential between the patient and his doctor? My advice to you young man: You can be seen to be wise in your politics if you refrain showing your anger to the people you think wronged you.babu slaa ameshapona mkono na kisukari!!!!!
unalaaana ya mjomba wako ww si bure
mkuu sambai aliyefika veta hupata ujuzi na kuutumia kujipatia riziki huyo masalani aka choo hanaujuzi ndiyo maana kaamua kujikabidhi kwenye B7 ili angalau apate pakujipatia chochote, AIBU yake.Mambo ya UDSM utayajulia wapi!? mtu mwenyewe ata Veta hujafika.
Eti, hata mm namshangaa huyu jamaa.Mzee Slaa naye mnamlinganisha na Rais Kikwete?
babu slaa ameshapona mkono na kisukari!!!!!
Hivi Dr Slaa hadhi yake ni kuzindua matawi ya chadema? Hii ni aibu kubwa na ni fedheha kwake
Ndugu Mwigulu Nchemba ameionya serikali
kuacha kuendekeza anasa, semina na sherehe
wakati wananchi wanaishi maisha ya dhiki.
"Haiwezekani serikali inafanya sherehe kubwa
wakati wanafunzi wanakaa chini na wananchi
hawana huduma ya maji, barabara na umeme.
Hatujawahi kusikia fedha za semina na sherehe
zimekosekana lakini kila siku tunaambiwa fedha
za kuchimbia visima vya maji na kununulia
dawa za hospitali hakuna! Kuna wengine
wanadiriki hadi kufanyia semina nje ya nchi",
alisema Nchemba.
Bwana Nchemba alimuagiza mlipaji mkuu wa
serikali asiwe anaidhinisha fedha za umma kwa
ajili ya sherehe na anasa ambazo hazina tija
katika maendeleo ya wananchi. Alisema
atakayekiuka agizo hilo ajiandae kufutwa kazi.
MAONI YANGU
Nampongeza Bw Nchemba kwa kuwatetea
wanyonge na kukataza matumizi ya ovyo ya
fedha za umma. Serikali imekuwa ikipoteza
fedha nyingi kwenye sherehe nyingi za kipuuzi
huku wananchi wakiishi maisha ya dhiki. Sasa
tutaanza kuona MAISHABORA KWA KILA
MTANZANIA.
Chanzo:RFA
Simu inaishiwa Umeme ila Dr kaifananisha CCM na Adolf H. Kuwa alikifa kutokana na ukatiri wake hata kaburi lake halijulikani lilipo ndivyo itakavyokuwa kwa CCM kutokana na ukatiri wake kuwanyanyasa wanafunzi kuwafukuza vyuo kufunga vyuo bila sababu hii nikuuwa kizazi cha wasomi matokeo yake CCM itakufa kama gaidi Hitla na kaburi lake kutokuonekana