Dr. Slaa kuunguruma Kilosa leo.

Gilo
Mkuu shaka ondoa ulinzi upo wa kutosha..na kwa sasa dua ya kiislamu inasomwa..
Huwa tunaanza na Mungu na kumaliza na....

na tunamaliza na Mungu yaani hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Last edited by a moderator:
Kalaga bao. Madaktari wamegoma,walimu wamegoma,...manesi wamegoma kunanini....
 

Inasikitisha kwa kweli mtoto wa kiume kuwa na wivu kiasi hicho wahindi na waarabu kwani sio Watanzania...kwa hiyo Mbowe na Slaa nao wanamkumbatia muhindi Sabodo...acha ubaguzi wa kipuuzi.
 
Inasikitisha kwa kweli mtoto wa kiume kuwa na wivu kiasi hicho wahindi na waarabu kwani sio Watanzania...kwa hiyo Mbowe na Slaa nao wanamkumbatia muhindi Sabodo...acha ubaguzi wa kipuuzi.
Kwi!kwi! Kwi! Teh mkuu wangu sobodo Ana cheo gani CDM?
 
haaaaaaa(kicheko)kazi kweli kweli.`2015 chadema isiposhinda ,naacha siasa,..`Mh Mbowe Freeman.Kamanda alikuwa serious.Naaza kuona maana ya maneno yake.Msisahau kuchangia sh 50,1oo,1000 nk wakati wakipitisha bakuli.
 
Kwani morogoro kuna nini? Wiki ya Pili hii Docta yuko uko, kuna nini morogoro?
Kuamsha watu waliolala na kusahau Muda wa jua kuchomoza sio Kazi ndogo!! Eeh Mungu endelea kutupa pumzi tuyashuhudie Mabadiliko ya kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…