Dr Slaa kutikisa kanda ya Ziwa


atakuja lini unyamwezini?
 

Muulize JK mbona na yeye hatujawai kusikia akitikisa hata Kijiji!
 
Nawasubiri Makamanda huku SIKONGE.

Dr. Slaa aliniahidi wakati wa uchaguzi atafika hadi huku kwetu SIKONGE ila hakufika, too sad.

Najua majukumu yalikuwa mengi ila ntaomba sana mfike walau kwenye tarafa kadhaa na mwisho kufanya mkutano mkubwa sana hapo SIKONGE mjini ambapo itakuwa vizuri Sugu na Nassari wakiwepo.

Anyway, hata hivyo kwa ujumla karibuni sana TABORA.
 

Noted mkuu
 
Mkuu jembe Lema amepangiwa wapi,ni vizuri ukatufahamisha ambao hatujui.

Mkuu Lema akishamaliza taratibu za rufaa akiongozwa na mawakili wake ataanza rasmi ziara.
 
Jamani mshaurini Dr. Badala ya Mwanza aje Bukoba! Wananchi wanakuitaji sana uwape elimu ya uraia!! "KWANINI MMETUTUPA KIASI HIKI!!?"
Kila la kheri makamanda!
 
Temeke, Ilala, kigamboni na Gongo le Mboto. bado hawajaelewa mwelekeo. Wekeni katika list.
 
Mkuu wapiga kura kanda ya ziwa wakihamasishwa vizuri ni zaidi ya milioni 4

Hao kina Rejao & Co,
Hawaelewi kura za kanda ya ziwa ndizo humpeleka mtu magogoni??

Na this time, vijana wasomi wa kanda ya ziwa tushaanza kujipanga! Tunatengeneza forum kubwa sana itayokuwa ikifanyika mara moja kwa mwaka. Tuta address mambo kibao lakini tunaanza na Katiba!

Dr. W. Slaa, karibu kanda ya ziwa ujenge chama!!
 


Kama ulivyo sema ujui, basi baki hivyo hivyo kwani huna sababu ya wewe kujua CDM wanafanya nini na wapi. Wewe haki yako ni kusikia tu.

Kawapangie CCM ratiba na si CDM
 
rejao huna lolote hapa jf.maana huna tofauti na makapi ya pombe ambayo hutupwa jalalani wakala wanyama na viumbe wengine!!!!!!!!!!!!!!!.umesahau arumeru mash!ulipotea jumla kama nzige.huna jipya wewe ni pumba tupu.pipooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzz pawa ni noumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Hata Kata ya Kirumba jijini Mwanza...CCM tuliwachana chana vilivyo kwenye kinyang'anyiro cha udiwani mpaka wakakimbilia kucharanga mapanga wabunge wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…