Wasalimu wana Igunga, wakumbushe kuwa safari ya ukombozi ni ngumu lakini wasikate tamaa, kazi iliyo mbele yao ni ndogo.... awike, asiwike, kutakucha tu.
Kwa huu msimamo wako, jiandae kuwa na machungu kama tuliyonayo sisi ya kukubali kwamba Jakaya ndio Rais, comes 2015 wewe Ritz pamoja na Zomba, Makupa na Kikwete kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku roho zikiwauma sana mkiongozwa na chuki zisizo na msingi mtalazimika kumtambua DR SLAA kama Rais wenu pia.
njia pekee na sahihi ni chadema Kuwa na potential candidates kama Dr wengi. nilipenda statement ya mh Mbowe 'nikfa weka maiti yangu pembeni ninyi songa mbele'. I mean in the absence of Dr for any reason other commandors should be able to lead this battle.
namkubali mheshimiwa rais wangu kwani yeye ni mtekelezaji wa ilani ya chama na ni mwalimu wa wananchi wote tanzania kwa kuwaelimisha jamii jinsi ambavyo anatoa elimu ya kweli
aiseee babaangu ningejua jinsia yako ningefurai sana ili nikupe jana lako,,kama ni wakike we ni gamba la kike na kama ni wakiume we ni gamba la kiume ila oll in all we ni gamba 2