Dr Slaa kutikisa Igunga leo


nimeipenda hii
 
da,huyu kamanda nimekubali,Mungu ampe afya njema na maisha marefu

xp
 
Kazi ya ukombozi haina mipaka wala ukomo, mpaka taifa liwe huru kamili
 

aiseee babaangu hiyo baa bado ipo ila mi huwa napata mbege pale mamsera ukinikosa hapo utanipata mwika au mkuu na mashati

kesho nenda ubungo kwenye ofisi za meridian nitakutumia mbege lita 10 waishwa mwanakwa
 
Hali ni mbaya kwa ccyemu mwaka huu. Wanapigwa bao mbele na nyuma. CDM wanacheza cross wananchi wanaingiza wenyewe gorini. Wela2, CDM juu3 zaidi.
 
Mungu hawezi kumwacha mdhalimu atawale milele.DR Tuko pamoja sana tena tunakuombea uzima.
 
Huyu Dr. Slaa la kitaifa kwa mabwepande, inafaa tumuongezee kaulinzi
 
Hiyo M4C hawana likizo kupisha zoezi la sensa?
 
Hii M4C ingeenda sanjari na kuwahamasisha wananchi kugomea sensa ili serikali ipate kuiona NGUVU YA UMMA :A S 27:

Kamanda Molemo tunashukuru kwa taarifa hii.
Piga kazi kiongozi wetu Dr. Slaa, watanzania bado wana imani kubwa sana na wewe kwa ajili ya ukombozi wa pili wa Tanzania.

M4C with no apology!
 
RITZ, hapa jamvini ni kama umebaki peke yako ,sasa nakupa ujanja fungua ID kama mbili hivi ili tuone walau sura tofauti kwani tumeshakuzoea mno mkubwa.

Marire uko vizuri hata mimi namshauri ritz(a) awe na id mbili kama tulivyonazo wengine ukila HATA BAN HUKU UNACHOMOKEA KWINGINE. MWACHE ABAKI PEKE YAKE MAANA HATA MASWAHIBA WAKE WAMEMWACHA
 
Kamanda Molemo tunashukuru kwa taarifa hii.
Piga kazi kiongozi wetu Dr. Slaa, watanzania bado wana imani kubwa sana na wewe kwa ajili ya ukombozi wa pili wa Tanzania.

M4C with no apology!

Siamini kama mkuu ulijivua Gamba. Hongera am proud of u
 
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.

Mi nilikuwa hapo muda si mrefu.
Wametupigia kelelr usiku kucha , mbaya zaidi nimeibiwa na hao vibaka wa CDM kupitia dirishani kwenye Gesti us Mwasonya.
Hivi ninvoongea naposhana na Dr Slas hapa Singida,.
Ngoja nikitoe mie
 
Mi nilikuwa hapo muda si mrefu.
Wametupigia kelelr usiku kucha , mbaya zaidi nimeibiwa na hao vibaka wa CDM kupitia dirishani kwenye Gesti us Mwasonya.
Hivi ninvoongea naposhana na Dr Slas hapa Singida,.
Ngoja nikitoe mie

Idiot.......
 
Piga kazi Dr. unajukumu kubwa sana endelea kupaa sisi tuko nyuma yako:flypig:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…