Dr Slaa kutikisa Igunga leo

RITZ, hapa jamvini ni kama umebaki peke yako ,sasa nakupa ujanja fungua ID kama mbili hivi ili tuone walau sura tofauti kwani tumeshakuzoea mno mkubwa.

ha haa haaa, mbona hiyo kazi ndio ya yenu nyie Pro-Chadema JF kila mmoja lazima ana ID zaidi ya 3 kama Tuntemeke yeye anazo 19.
 
Doctor yupo smart kimbinu na kimkakati! hiyo aliyofanya ni political timing!!viva doctor! viva m4c viva CDM viva tanganyika!
 
Ni kweli kamanda.Huu ni uamuzi wa busara sana.
 
Nape,ukianza kufukia mashimo ya chadema utaanzia Moro au Igunga?maana naona kama unarundika kazi

ahaa!!!! Mashimo yenyewe anafukia kwa kutumia karatasi,ukipita upepo kidogo yote yanapeperuka.
 
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.

mimi nina imani nae saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Mtume gani yule Muhindi wa Agape TV.

Kuhusu Sensa naunga mkono jinsi serikali inavyodhibiti vikundi vya kihuni vinavyoongozwa na Ponda.Kwa hapa viva JK
 
RITZ, hapa jamvini ni kama umebaki peke yako ,sasa nakupa ujanja fungua ID kama mbili hivi ili tuone walau sura tofauti kwani tumeshakuzoea mno mkubwa.
Tumesha mzoea yan mimi nikimuona huwa naruka post zake kama naruka timba vile...
 
sijawai kupungukiwa imanh na Dr.Slaa Mungu akuzidishie nguvu na afya bora,maana watanzania waliokata tamaa na maisha wanaimani na wewe kuliko unavyofikiria.!

Asante mkuu kwa kuwasemea watanzania walio wengi.
 
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.

mmoja wapo mimi nina imani nae..... kura two million za 2010 unajfanya hukuzisikia au acha basi ritz kupiga kelele ...heri chui hawezi kubadilika kuwa mbuzi au ngombe

CDM wanatisha zaidi ya ukoma,kikao muafaka,muda muafaka.
Kiongozi muafaka.
 
mmoja wapo mimi nina imani nae..... kura two million za 2010 unajfanya hukuzisikia au acha basi ritz kupiga kelele ...heri chui hawezi kubadilika kuwa mbuzi au ngombe

Mkuu asante sana kwa kutoa Facts...
 
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.

aiseee babaangu ningejua jinsia yako ningefurai sana ili nikupe jana lako,,kama ni wakike we ni gamba la kike na kama ni wakiume we ni gamba la kiume ila oll in all we ni gamba 2

ngoja ningoje mbege hapa
 
babaangu gamba ni gamba tu liwe kike ,kiume ,kijani achana nae ye yupo kazini posho ya nape kesha vuta ....wanatumalizia pesa zetu kwa kuhangaika na cdm,wana honga jamaa waachie ngazi uongozi wa cdm ..cdm wanajaza nafasi kwa bure .
unanikumbusha mbege nilipo kuwa moshi miaka ile ..nilikuwa napata kikombe pale kwenye ile baa ya masai kazaa mtoto sjiui bado ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…