Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Mojawapo ya matatizo ambayo wengine tunayaona ni yale yale ya kuwa viongozi wa Chama ndio executive wa chama vile vile; matokeo yake ni mambo kama haya ambayo yangeweza kuepukika mapema sana kama ingetenganishwa shughuli za chama na shughuli za kisiasa. Haya matatizo ya michanganyo hii yataendelea hadi CHADEMA itakapokubali kuwaondoa wanasiasa katika shughuli za kila siku za chama na kuweka watu ambao ni professional katika utendaji wa chama. Sijui kwanini hili ni gumu sana kuonekana.