Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili?

Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

=========
UPDATE - May 31, 2011
CHADEMA National Party Chairman Freeman Mbowe, has admitted that the party's Secretary General, Dr Wilbroad Slaa, pockets 7m/- tax-free each month in 'allowances.'

This follows reports by some section of the media on Sunday quoting officials from the Tanzania Revenue Authority (TRA) , saying that Dr Slaa has been avoiding taxes.

Mr Mbowe told journalists on the sidelines of the ongoing parliamentary committee meetings in Dar es Salaam on Tuesday that all of Chadema leaders are volunteers who are hardly paid anything.

''Save for members of the Secretariat who are given some allowances otherwise all party leaders are not paid anything,'' remarked Mr Mbowe, who is also the Leader of the Opposition in the National Assembly.

Dr Slaa was among a handful of candidates who contested for presidency during last year's General Elections and lost to President Jakaya Kikwete.

According to Mr Mbowe, since Dr Slaa is the Chief Executive of the party, it was decided by the party National Executive Committee (NEC) that some package should be allocated for him to be able to build the party.

''We decided that since he will not be doing any other job some amount of money be allocated for him to cover his expenses such as transport, medication, housing among others,'' he said.

The Hai legislator maintained that since the amount is 'just an allowance,' it needs not to be taxed.

''It is not true that Dr Slaa is paid a lot of money as claimed by some people. What he earns is just some money for his upkeep and not his own income per se,'' explained the opposition politician cum businessman.

He said statements by TRA officials that Dr Slaa has been avoiding taxes is a retribution towards the former Roman Catholic Church priest turned politician, for 'revealing TRA's misdeeds' during his time as an MP.

Efforts to get comment from the Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa and TRA Commissioner General, Mr Harry Kitilya, were not successful on Tuesday.

SOURCE: Daily News
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

sio kweli
 
Unatakiwa ujiulize huo mshahara anmpa nani? Kama anapewa basi wanaompa wameridhika na kazi aitendayo ndiyo maana wakampa huo mshahara! Unatakiwa ufuatilie wanaoitafuna hii nchi wanatafuna kiasi gani na kutoka hapo ndio uulize maswali endelevu!
 
mshahara ni siiri ya mtu, nani makubaliano kati ya mfanyakazi na mwajiri wake, sasa wataka kujua ya Slaa yatusaidie nini?
 
Vitu Personal hivyo kijana funga domo... sasa akilipwa vizuri wewe inakuhusu nini?
 
Hata akilipwa mshahara mkubwa sawa tu kwani anafanya kazi kubwa na nzuri. Sio kama kina makamba na tambwe wanaolipwa jasho la wanyonge wa nchi hii kwa kuongea pumba na mashudu.
 
Nenda kalete mshahara wa kikwete tukuambie wa dr. Acha hizo wewe!:a s 112::a s 112:
 
Anastahili sio kuwa na mshahara mkubwa kuliko makatibu wakuu wote, bali hata kuzidi wa Rais + PM kwa utumishi wake uliotukuka kwa wananchi ambao fedha zao ndizo zilipazo hiyo mishahara. Nenda kamweleze hivyo aliyekuagiza kuhoji hilo
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Wewe unakuhusu nini, kwani kuna wakurugenze wangapi wanatumia kodi zetu vibaya.
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Hovyooo.Sasa unamuuliza nani?Kwanini hukudadisi zaidi "huko ulikosikia kuhusu ukubwa wa mshahara wa Dkt Slaa"?Unauliza anapata kiasi gani ili iweje?Unataka kwenda kumpiga kirungu?
 
Huo mshahara wa slaa wewe unataka kuujua wa nini, kwani mshahara wako anaujua nani, we are not interested
 
Anastahili sio kuwa na mshahara mkubwa kuliko makatibu wakuu wote, bali hata kuzidi wa Rais + PM kwa utumishi wake uliotukuka kwa wananchi ambao fedha zao ndizo zilipazo hiyo mishahara. Nenda kamweleze hivyo aliyekuagiza kuhoji hilo

pamoja sana...yaani Dr.Slaa mimi namtazama kama rais sio mkwere kazi kujichekesha chekesha tu
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.
MS anawachezea sana JF mods... sijui ana nguvu gani
 
Dr slaa natimiza masharti ya bargaining strength. Ukienda kuomba kazi nawe ubargain si kumwogopa mwajiri. Nampongeza dr.slaa. Ila sitaki kujua anapokea sh.ngapi wakati wanyonyaji wenye asili ya kiarab na kisomali wanazidi kuzamisha mirija kwenye mwili wa Mtanzania!
 
mtoa hoja weka mshahara wa mzee wako makamba tuujadili kwanza.
 
Back
Top Bottom