Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Inawezekana, ni mambo ya ndani ya Chama.
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

I promise and i swear,....
Ukiambiwa mshahara wa Dr.Slaa naondoka kwenye level ya ushabiki wa chadema hadi kuwa "mwana chama hai" !!
Chadema wana hubiri uwazi kweli kweli, lakini hapa......................mmmh hutapata jibu kamili!
Either utapewa lakini la uongo!

Kwa uwazi zaidi watuambie na mshahara wa M/kiti,Katibu mkuu,Naibu katibu mkuu na naibu mwenye kiti.....
 
Vitu Personal hivyo kijana funga domo... sasa akilipwa vizuri wewe inakuhusu nini?

Personal????
My foot

Au kwa kuwa ni chadema basi inakuwa personal?
hahahaha,Jamii Forums
 
Hovyooo.Sasa unamuuliza nani?Kwanini hukudadisi zaidi "huko ulikosikia kuhusu ukubwa wa mshahara wa Dkt Slaa"?Unauliza anapata kiasi gani ili iweje?Unataka kwenda kumpiga kirungu?

Ni hapa hapa JF watu waliuliza mishahara ya wabunge,.....kumbe mnataka kuwapiga virungu?
 
Wewe unakuhusu nini, kwani kuna wakurugenze wangapi wanatumia kodi zetu vibaya.

Jitofautisheni na Makamba,Wassira,Chiligati JK,and the like kwa kujibu hoja kwa hoja sio hoja kwa vitisho,matusi na kuzunguka ukweli!
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

tunaomba utuletee mishahara ya makatibu wakuu wote hapa,tutaweza kujua mbichi na mbivu,tofauti na hayo huu utakuwa Umbea!
 
hayo ni majibu ya great thinkers, ....uliza tena!

Umenichekesha sana mkuu,ndo maana kumbe ndani ya chadema uki question kitu tu unaonekana msaliti,kwa mtindo huu,....chadema ina jiundia bomu kwa kuamini kuwa ina watu wasaliti kumbe ni waoga wa kuuliza
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Mshahara unaendana na majukumu uliyopangiwa na mwajiri wako na performance yako. Kama una deliver atakuongezea. Win-Win situation.

Nafikiri umeleta roles and reponsibilities za kila mmoja katika chama, achievements. na uwezo wa organization kulipa.

Bila hivyo vitu tutabakia majungu na kutukanana tu hapa.
 
Amezoea vimshahara vya govt ya ccm hata tarehe 5 ya mwezi haumfikishi mtumishi
 
pamoja sana...yaani Dr.Slaa mimi namtazama kama rais sio mkwere kazi kujichekesha chekesha tu

teh teh teh! na kwenda kwa yule mshirikina mkuu afrika mashariki na kati shekhe yahya kutabiriwa kama awakamate mafisadi wenzake ama la! hii Kwere iko tabu bana...
 
Back
Top Bottom