Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

acha kutafuta umaarufu kwa kupitia dr slaa wewe,mshahara wakeunakuhusu nini? Kwanza kaulize wa baba yako jk ndio uambiwe na wa dr.Slaa
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Kwa kuwa ni katibu mkuu bora na makini kuliko makatibu wakuu wa vyama vingine. Halafu watu wa finance wanasema "THE HIGHER THE RISK, THE HIGHER THE RETURN".
 
Mshahara unaendana na majukumu uliyopangiwa na mwajiri wako na performance yako. Kama una deliver atakuongezea. Win-Win situation.

Nafikiri umeleta roles and reponsibilities za kila mmoja katika chama, achievements. na uwezo wa organization kulipa.

Bila hivyo vitu tutabakia majungu na kutukanana tu hapa.

Mafisadi ya ccm yaliiga kutoka kwa watasha kitu inaitwa Open Performance Review and Appraisal System(OPRAS) yakaingiza serikalini. yameshindwa kui-plement hiyo kitu(kama yalivoshindwa nyanja nyingine) coz hiyo kitu inataka ulipwe against performance, no performance no increment. ni wazi mafisadi hayawezi hivo coz yenyewe yanataka kuzoa tu hata pale yasipopanda...yaone kwanza, yan mimi haya nna hasira nayo mimi, sijui niyanyee??!!
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Yaani wewe tangu ulipojiunga mwaka jana ndo unaibuka leo na mshahara wa Dr. Slaa?
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Dr Slaa anastahili kulipwa mshara mkubwa kuliko Viongozi wengi wa sissa kwa sasa hapa nchini, kwani anafanya kazi kubwa sana, na kwa taarifa yako hata kama analipwa chini ya 20M per month, bado ni kiduchu sana ukilinganisha na kazi anayofanya kwa taifa hili na vizazi vijavyo.

pia kama unataka kujua uliza makaburu migodini wanalipwa mishara gani ndio ujue kuwa nchi hii inanyonywa na kufilisiwa, kwa taarifa yako tu:

Makaburu wanalipana $ usizoweza kufikiria wewe, chakula bure, usafiri wa anga toka dar - mgodini-dar bure,mahotel wanayofikia ya gharama kubwa bure,Matibabu Bure usafiri wa anga Dar - kwao-dar Bure (kwao = anapotekea kama ni SA,America na popote pale duniani) na mengine mengi. napenda kukuhakishia walio wengi ni maimuna.

Dr Slaa anastahili kulipwa zaidi na zaidi, na sio kulipwa tu na kupewa ulinzi wa kutosha.
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Unataka kukopa?
 
Umenichekesha sana mkuu,ndo maana kumbe ndani ya chadema uki question kitu tu unaonekana msaliti,kwa mtindo huu,....chadema ina jiundia bomu kwa kuamini kuwa ina watu wasaliti kumbe ni waoga wa kuuliza

halafu eti unajiita mshabiki wa Chadema, kweli? Kiss my ass!
 
umejuaje kama si kweli si ulikuwa unataka jibu bwana! Kumbe unajibu lako mkuu!

Unaelewa maana ya hayo mabano hapo?

$65000 kwa hela zinazotoka wapi?
Kama ni hivo basi inabidi tuulize source ya income ya chadema kabla hatuja define vinginevyo
 
Kama ningeambiwa nichangie mshahara wa Dr Slaa mimi nilikuwa tayari kufanya hivyo. Kwani kwangu kazi nzuri ina thamani kubwa zaidi kuliko fedha.
 
halafu eti unajiita mshabiki wa Chadema, kweli? Kiss my ass!

Mmmmmwaaaaaah,

Kumbe shabiki wa chadema yuko vipi?
Mwenye kukubali kila kitu hata pale anapotaka jibu akaambiwa "don't question that" ni marufuku nae akae kimya?

Well,kama ndo definition ya shabiki wa chadema iko hivo,...basi simo kwenye hiyo list ya either kushabikia chadema au chama chochote au mtu yeyote asie taka challenges
 
kama ningeambiwa nichangie mshahara wa dr slaa mimi nilikuwa tayari kufanya hivyo. Kwani kwangu kazi nzuri ina thamani kubwa zaidi kuliko fedha.
hapo umenena mkuu ,ndio maana wabunge wa chadema wapo tayari kuchangia mshahara wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom