Jf imevamiwa na vilaza siku hizi
Jamani wana jamvi je uvumi huu ni wa kweli kuhusu Slaa kugombea Karatu kwa tiket ya CCM? naomba mnijelishe tafadhali
Na wewe ni kilaza mmojawapo wa jfWana matumaini hao!Teamdodoki
Wana matumaini hao!Teamdodoki
Pole sana. Lowasa hawezi kuwa raisiWewe gamba utaweweseka sana mwaka huu lowasa ndio rais wa watanzania
Mtatapika nyongo mwaka huu, Dr. Kawashika pabayaJamani wana jamvi je uvumi huu ni wa kweli kuhusu Slaa kugombea Karatu kwa tiket ya CCM? naomba mnijelishe tafadhali
Pole sana. Lowasa hawezi kuwa raisi
Jamani wana jamvi je uvumi huu ni wa kweli kuhusu Slaa kugombea Karatu kwa tiket ya CCM? naomba mnijelishe tafadhali
NI KWELI HUYO MGOMBEA WA UBUNGE KARATU KWA TIKETI YA CCM ANAITWA DR WILBAD SLAA LORI sio DR WILBROAD SLAA WA CHADEMA WANAFANANA MAJINA
Ni Dr. Slaa Lorri....
Sio Dr. Slaa Josephine...!!!