Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

Status
Not open for further replies.
Kwa kifupi Dr. Muhogo hajabadili msimamo wa mtu. Wale waliokuwa wanamsema vibaya ndo haohao...Kwa kifupi plan imefeli...
 
Tido Mhando angalia tusikupuuze. Kama uko sawa muulize padre kwa nini aliasi upadre na je haoni yanayomtokea ni matokeo ya uasi ?
 

Wewe usiseme zetu, sema yako... Naona huwajui vzr Watz... Utaja pigwa butwaa na hutaamin matokeo..
 
Anahangaika huyu mzee kweli ukila cha mtu lazima ulipe na nafikiri sasa hivi anajuta kwa nini alikubali maana anatimikishwa tu kama robot
 
 
tatizo wanampatia maswari anajiandaa nayo then anakuja kutujibu...pia atafutwe MTU was pili wa kua wanaulizana papo kwa papo...
 
Wewe usiseme zetu, sema yako... Naona huwajui vzr Watz... Utaja pigwa butwaa na hutaamin matokeo..

Kwa mbinu za kuiba kura sawa, lakini huko nako tumejipanga vizuri, mara hii tutakaba mpaka penalti. Watanzania wa leo sio mazuzu tena wa kuendelea kulishwa ahadi hewa. Tumejipanga kuikataa CCM, period.

Tiba
 

Swali ni je, anasema uongo?? Na je kuna kauli yoyote aliyoibadiri tangu alipoanza kufumua ufisadi wa FISADI mamvi?? We kama unaona hakusaidii kaa kimya na uache wengine nikiwamo mimi tupate elimu vyema juu ya huyo FISADI mamvi... Usidhani kuwa sote tuko ktk kundi la "waliotajwa na Rais mstaafu"
 
mpaka dawa iwaingie kwenye mifupa.

Tatizo ccm bado mnafikiri mna deal na watanzania wa uchaguzi wa 2005, kosa kubwa sana. Mgejua ni kwanini safari hii makundi ya vijana yameamua kujiandikisha kupiga kura msinge hangaika kumtembeza Slaa kwenye vituo vya luninga. Alicho kiongea Serena Hotel watu walimsikiliza kisha wakasema sawa, kaa pembeni sisi tunasonga mbele.
Kifupi watu wameichoka ccm kupita maelezo hata hiyo oct 25 wanaiona ipo mbali kwelikweli.
 
Ni lazima Dr Slaa ahojiwe sana. Ni kiongozi kipenzi nambari wani wa Watanzania wanaochukia rushwa.

Mimi napenda sana watu wenye msimamo. Slaa is the embodiment of that kind of integrity.
 

Waliolala usiwaamshe... Old tricks mwaka huu zimefulia
 

Leo nilipita Posta Dar, ee bhana vijana wanakuambia siyo Lowasa tu, hata likiwekwa jiwe watalipigia jiwe ili mradi ni Jiwe la UKAWA. Hivyo Dr Slaa hawezi narudia hawez kubadili msimamo wa Watanzania. Hata alie mavhozi na kutoa kinyesi Watanzania wapenda mabadiliko wako tayari kwa mabadiliko!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…